Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

Hujui afu unaropoka Afya diploma basic 740k take home 613
Hoja yangu nillikita kwenye mshahara unatofautiana kati ya Degree na Degree btw 740k diploma alaf degree 820k utofauti ni chupi 8 za wifi yako ndugu mwalimu
 
Hoja yangu nillikita kwenye mshahara unatofautiana kati ya Degree na Degree btw 740k diploma alaf degree 820k utofauti ni chupi 8 za wifi yako ndugu mwalimu
I am not a teacher, but jitahidi umnunulie mkeo nguo ya ndani Kali,,sio chupi za buku jero
 
Siyo kweli
 
Okay ya sayansi ndo wanaanza na 820k
Hata ivo mishahara ya kitanzania ni kichefuchefu
Kuna kiboksi cha juu ya 822k. Sema walimu wanalipwa vizuri ukilinganisha na wenzao wa halmashauri wa idara tofauti na afya, uhandisi, na wale wenye certifications za bodi mbalimbali.
 
Kuna kiboksi cha juu ya 822k. Sema walimu wanalipwa vizuri ukilinganisha na wenzao wa halmashauri wa idara tofauti na afya, uhandisi, na wale wenye certifications za bodi mbalimbali.
Hivi walimu wa sayansi hawaanzi na TGTS D3 ?? au mimi ndio sifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…