Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

Siyo kweli MOH range yao ni moja au siyo kweli nini?
Mi sihitaji kusema mshahara wa mtu ila nina mwana familia yangu ni wa kazi hiyo, so siyo kweli... Pesa yao no ndogo kuliko ulichosema
 
Mi sihitaji kusema mshahara wa mtu ila nina mwana familia yangu ni wa kazi hiyo, so siyo kweli... Pesa yao no ndogo kuliko ulichosema
Aisee nachojua mimi warden (form 4) wa magereza anakula 450k
 
Mshahara wa mtumishi wa serikali inategemea na wizara inayotoka+elimu yako.mfano WIZARA YA MAMBO YA NDANI(POLISI,MAGEREZA,UHAMIAJI THEN ZIMAMOTO) hapo senior ni polisi kama nilivyopangilia,hivyo polisi huwa wana kima cha juu kuliko wowote sasa kinachowabeba hao wengine kama uhamiaji ni ujanja ujanja wanavyotumia kupata posho,ila worldwide Ministery of home affairs polisi wana mshahara mkubwa kutokana na kwamba ndio chombo kikubwa na kina majukumu makubwa kuliko hao wengine.
 
Na degree yangu ya BSc. Forestry siku Mungu akinijalia nikazama huku TFS Dah nitamshukuru sana
 
Sawa analipwa laki 7 Ila je ana muda gani kazini..?
 
Askar
askari halipwi mshahara
 
you are very certain
 
MKUU acha kudanganya watu MOH salary ni SAME MAJUKUMU makubwa ulilazimishwa uwe mkaki!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…