Sidhani kama ni rahisi kwa chamaChama tunapita naye kesho, kwa kuanzia tu
Wamemshindwa Sure boy ndio itakuwa Chama, halafu pale Yanga atacheza na nani.Sidhani kama ni rahisi kwa chama
Mkuu Upo dunia gani?Mumeshindwa na aweso mtamuweza chama nyie
Halafu mtamlipa nini, yaani Chama apande basi kwenda kwenye mashindano mwaka mzima, ataweza?Chama tunapita naye kesho, kwa kuanzia tu
Umepuyanga kila mchezaji hufanya maelewano binafsi kabla hajasain kandalasiKwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah
Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi
Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba kila mchezaji amejua mshahara wa huyu kijana wetu na kwa sasa
Ssc mjiandae vyema tu kama morrison atacheza mwenyewe uwanjani mtaelewa kwann mabeki mnawalipa laki nane ama milion ndio wanaoingarisha simba
Nawatakia kila la kheri na migogoroo mema haramu huliwa na haramu
Mishahara ya wachezaji hutofautiana, ipo hivyo kila timuKwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah
Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi
Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba kila mchezaji amejua mshahara wa huyu kijana wetu na kwa sasa
Ssc mjiandae vyema tu kama morrison atacheza mwenyewe uwanjani mtaelewa kwann mabeki mnawalipa laki nane ama milion ndio wanaoingarisha simba
Nawatakia kila la kheri na migogoroo mema haramu huliwa na haramu
Hata Yanga ni uhuni mtupu, GSM ndio anasajili hakuna pendekezo la kocha.Mchezaji pekee Senzo aliyemsajili ni konde boy na kocha kishingo hata hivyo konde boy halikuwa pendekezo lake chama alisajiliwa na magori sema bodi ya simba inaendeshwa kihuni huyu mwamedi asipojiangalia washabiki watampiga na makopo simba ni zaidi ya anavyoijua nilishangaa hans pope anazungumzia maswala ya technical bench wakati yeye kama mjumbe wa bodi ni mtekelezaji