Mshahara wa B. Morrison utakavyoisambaratisha Simba Sc na wachezaji wake

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah

Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi

Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba kila mchezaji amejua mshahara wa huyu kijana wetu na kwa sasa

Ssc mjiandae vyema tu kama morrison atacheza mwenyewe uwanjani mtaelewa kwann mabeki mnawalipa laki nane ama milion ndio wanaoingarisha simba

Nawatakia kila la kheri na migogoroo mema haramu huliwa na haramu
 
Wewe jamaa kwa uandishi huu inaonekana hata IQ yako ipo hivi hivi....
Pathetic
 
Mchezaji pekee Senzo aliyemsajili ni konde boy na kocha kishingo hata hivyo konde boy halikuwa pendekezo lake chama alisajiliwa na magori sema bodi ya simba inaendeshwa kihuni huyu mwamedi asipojiangalia washabiki watampiga na makopo simba ni zaidi ya anavyoijua nilishangaa hans pope anazungumzia maswala ya technical bench wakati yeye kama mjumbe wa bodi ni mtekelezaji
 
Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah

Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi

Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba kila mchezaji amejua mshahara wa huyu kijana wetu na kwa sasa

Ssc mjiandae vyema tu kama morrison atacheza mwenyewe uwanjani mtaelewa kwann mabeki mnawalipa laki nane ama milion ndio wanaoingarisha simba

Nawatakia kila la kheri na migogoroo mema haramu huliwa na haramu
Umepuyanga kila mchezaji hufanya maelewano binafsi kabla hajasain kandalasi
 
akili za simba na yanga hazitofautiani na akili za ccm😉😉😉😉🙂

Yaani mnagombaniana wachezaji wa ndani ya timu zenu???, inamaana hakuna mbunifu wa kutafuta wachezaji nje ya timu zenu??
Kweli vichwa box mpirani😎😎
 
Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah

Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi

Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba kila mchezaji amejua mshahara wa huyu kijana wetu na kwa sasa

Ssc mjiandae vyema tu kama morrison atacheza mwenyewe uwanjani mtaelewa kwann mabeki mnawalipa laki nane ama milion ndio wanaoingarisha simba

Nawatakia kila la kheri na migogoroo mema haramu huliwa na haramu
Mishahara ya wachezaji hutofautiana, ipo hivyo kila timu
 
Mchezaji pekee Senzo aliyemsajili ni konde boy na kocha kishingo hata hivyo konde boy halikuwa pendekezo lake chama alisajiliwa na magori sema bodi ya simba inaendeshwa kihuni huyu mwamedi asipojiangalia washabiki watampiga na makopo simba ni zaidi ya anavyoijua nilishangaa hans pope anazungumzia maswala ya technical bench wakati yeye kama mjumbe wa bodi ni mtekelezaji
Hata Yanga ni uhuni mtupu, GSM ndio anasajili hakuna pendekezo la kocha.
 
Back
Top Bottom