Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Mshahara sio 1.3, ni 1824000 hii ni kwa mujibu wa viwango vya mishahara ya madaktari wenye bachelor's degree 2023/24
Hii ni kama mil2 kasoro, bado kuna posho, na serikalini mshahara hauwi constant, unapanda...
 
Salary scale ni 1 tu inayoandaliwa utumishi
 
Kuna kipindi nilikutafuta sana.....upo bongo au mamtoni?
 
Mshahara sio 1.3, ni 1824000 hii ni kwa mujibu wa viwango vya mishahara ya madaktari wenye bachelor's degree 2023/24
Ndio manadanganyana hivo? Huo 1.8 ni wa senior Medical officer, sio kibushuti anayeanza kazi. Anayeanza ni 1.5, na tuseme ukweli ata ingekuwa ni 2m bado kwa kazi hiyo ni utumwa tu.
 
Hapana sio kweli Md anaeanza kazi anapokea Tshs 1,530,000/= kabla ya makato
Mshahara sio 1.3, ni 1824000 hii ni kwa mujibu wa viwango vya mishahara ya madaktari wenye bachelor's degree 2023/24
 
dah jaman mimi hata sielew chochote kuhusu mambo ya careers am form 4 leaver naomben mnisaidie
 
Ndo ngazi gani Tena hiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
jamani naombenn mnisaidie ktu 1 ,niende nikasome nn mimi mdogo wen am form four leaver
phy A
chemA
bios A
mathA
geogA
eng A
na nna 1.7
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
jamani naombenn mnisaidie ktu 1 ,niende nikasome nn mimi mdogo wen am form four leaver
phy A
chemA
bios A
mathA
geogA
eng A
na nna 1.7
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
We unapenda nn?
Tuanzie hapo?
Kila mtu ana ndoto ya kuwa Fulani,kabla hatujakushauri ,
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…