hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Wakili wa serikali anaanza na ngap mkuu?MD serikalini ananza na TGTS E, daraja moja na wakili wa serikali, vetinary, mhasibu nk na hilo ni daraja moja juu kwa mwalimu kwani huanza na TGTS D