Tanzania Norway
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 321
- 640
Kwahyo mkuu unataka daktari nae aproduce mtu aache wagonjwa wafe au unamaana gan huyo mtu wa anga na tanesco akiumwa si anatibiwa na daktar ambae unaona hazalishi??TANESCO wanazalisha Megawatt za umeme wanatuizia kwa unit. Kwann wasilipane pesa nyingi. ATCL wanafanya biashara ya usafiri wa anga kwanini wasilipane fedha nyingi. Walimu na Madaktari hawawezi kulipwa fedha nyingi kwasababu they are not producing kama hao wengine. Watulie walipwe malipo yao ya wito.