Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Sasa jamani unafanya kazi kwenye hospital inatibu wagonjwa 50 kwa siku, kila mgonjwa analipia elfu 20. Unataka kwa mwezi ulipwe Millioni 3 kweli?. Hizo hela za kukulipa hiyo pesa serikali inazitoa wapi.

Mwenzako anafanya kazi EWURA kama inspector, kila kwenye lita moja ya mafuta EWURA inachukua percent yake. Kila lita moja. Kwanini wasiwalipe wafanyakazi wao pesa ndefu?
We meneja wa Makampuni bado tu hujapata ajira
 
Sasa jamani unafanya kazi kwenye hospital inatibu wagonjwa 50 kwa siku, kila mgonjwa analipia elfu 20. Unataka kwa mwezi ulipwe Millioni 3 kweli?. Hizo hela za kukulipa hiyo pesa serikali inazitoa wapi.

Mwenzako anafanya kazi EWURA kama inspector, kila kwenye lita moja ya mafuta EWURA inachukua percent yake. Kila lita moja. Kwanini wasiwalipe wafanyakazi wao pesa ndefu?
Kwenye hao 50 yupo Elon Musk, Tesla inapeta, we una shida kichwani sio bure. Niambie Samia kazalisha nini au musukuma na wabunge wengine wanazalisha nini mpaka walipwe mamilioni!?
 
Kwa hiyo Samia, Msukuma na wabunge wengine hawazalishi?
 
Inategemea na mwajiri ni nanj .

Maana kuna wengine wanafanya chini ya Tamisemi.

Wengine wizara ya afya.

Wengine kwenye taasisi za kiserikali kila mmoja na mshahara wake japo kada ni moja.

Na unapoongelea Daktari.

Kuna MD
Kuna specialist.
Kuna Daktari bigwa .
Kuna Daktari mwandamizi.
GP ndo Daktari wa kawaida
Specialist ndo bingwa
Consultant ndo mwandamizi /mbobezi
 
MD aliyemaliza miaka mitano plus mmoja wa internship hamzidi polisi div 4 au ziro aliyekwenda CCP miezi 9.
Kumbuka MD alipitia form 5/6 baada ya kupasua fomfoo.
Hao ni polisi wa Nyu yoku?
 
Kwa hiyo Samia, Msukuma na wabunge wengine hawazalishi?
According to hoja yako unayotaka wenzio wasilipwe vizuri, kisa hawazalishi lakini wanakufanya uwe na afya ili uzalishe ila unaona kazi bure. hamnazo kweli wewe. Huko Marekani na ulaya ushajiuliza kwa nini wanalipwa sana? Huko ndipo akili kubwa zilipo sio wewe wa sweken
 
Basi mtalipwa vizuri, ila sijui hiyo bajeti itatoka wapi. Unajilinganisha na Rais na wabunge. Wabunge wako wangapi na ninyi mpo wangapi. Kwa ninavyo elewa nchi inaendeshwa kwa hesabu. Ukisema uwalipe mishahara mikubwa walimu na watu wa afya unaweza jikuta bajeti nzima inaishia kwenye mishahara.
 
Sijasema wawe sawa. Nasema walipwe kulingana na uzito wa kazi zao achana na walimu, haileti mantiki eti mtu kakaa kwenye kiyoyozi hapo nssf alipwe mara 5 ya daktari, na ana safari za nje na marupurupu na mikopo isiyo na riba we unaona ni sawa? Alafu dada yako anaumwa anakaribia kufa anasaidiwa na huyo daktari sijui unapata point? Ata samia kasema juzi afya ndio mtaji namba moja, sasa iweje mtoa huduma mkuu wa afya adharaulike? Mimi sio daktari ila naelewa sana kazi yao kwa kuwa nina elements zao.
 
Inategemea na mwajiri ni nanj .

Maana kuna wengine wanafanya chini ya Tamisemi.

Wengine wizara ya afya.

Wengine kwenye taasisi za kiserikali kila mmoja na mshahara wake japo kada ni moja.

Na unapoongelea Daktari.

Kuna MD
Kuna specialist.
Kuna Daktari bigwa .
Kuna Daktari mwandamizi.
Hao wote ni MDs. Huyo ndio daktari anything else ni extra. Ata akiwa professor. Ila kinachombeba ni MD.
 
Sasa jamani unafanya kazi kwenye hospital inatibu wagonjwa 50 kwa siku, kila mgonjwa analipia elfu 20. Unataka kwa mwezi ulipwe Millioni 3 kweli?. Hizo hela za kukulipa hiyo pesa serikali inazitoa wapi.

Mwenzako anafanya kazi EWURA kama inspector, kila kwenye lita moja ya mafuta EWURA inachukua percent yake. Kila lita moja. Kwanini wasiwalipe wafanyakazi wao pesa ndefu?
Ingekuwa mshahara inapikwa kwa style hiyo basi bunge lote pale walipaswa kutokulipwa maana hakuna wanachozalisha zaidi ya kupiga porojo tu.
 
Pole ndio maisha, msiridhike, amkeni mpewe heshima mnayostahili. Lazima tuwadharau maana mpo comfortable na umaskini. Mna majina makubwa lakini mifuko mitupu. Shame, mnazidiwa ata na kina baba levo na mwijaku. Mjitafakari mmekosea wapi. Serikali yenu
Ukimaliza kujibizana na Meneja Wa Makampuni njoo pembeni ili tuone kama nitaweza kukupa salary slip zangu za mshahara , punde sijatoka ofisini , nahisi kuna jambo utanishauri au utaniheshimu wewe ili wengine wafuate .

Note : sio kila daktari anakula mshahara tu wa serikali akili yake ndiyo inaweza determine mwisho wa mwezi awe na scale gani ?

Huwezi nielewa rafiki paqwa tuachane na hayo ?

Vipi laikini umepima afya yako au una utaratibu wa kupima mara kwa mara afya yako ? Maana sasa hivi afya haziimariki kabisa rafiki yangu [emoji16]

Karibu nyumbani
 
Nisikuelewe kwani unaniona sina uwezo au we mwenyewe huna lolote unalijua?🤷🏿‍♂️
 
Sasa Hivi imepanda TGHS E1 ya Md anayeanza kazi ni 1,530,000/= basic salary
Ni uchafu bado. Hadi aibu. Akikatwa kodi, bodi ya mikopo, mkopo wa gari nk, ni takataka tu. Ata ingekuwa 2.
 
Back
Top Bottom