Mshahara wa Dhambi; Nimepata ndoa lakini mtoto wangu akageuka mlemavu!

Pole sana nilimwelekeza yule Jamaa ndio haya hapa sasa MUCOS yale nilikwambia haya hapa soma Mwanzo Mwisho ujifunze Jambo lile nililokwambia kule ndio mtiririko wake km huu
Mkuu Luthergo: nimekupata barabara na asante pia kwa kunitag hapa kuna kitu kikubwa nimejifunza.


Kwa ule ushauri wako umekuwa kama malaika uliyetumwa kunifumbua Jambo moja kuu sana na kweli naahidi kulifanyia kazi vema. Maamuzi magumu nitafanya na naamini ipo siku nitakuja kukupa mrejesho. Asante sana
 
mbona ni mwandiko wa ephen
 
Nyie wanawake wengi wenu ni wachawi, akili zenu ni fupi kama kimo cha mikojo yenu.
SIO WOTE NI BAADHI YENU.🚮
 
Japo hii inaweza kuwa story ya kutunga ila inà funzo. Sio kwa wanawake tu, hasa kwa wanaume. Changamoto za uzazi zipo, kuvumiliana muhimu.
Kuna nyumba niliamia, nikakuta mwenyenyumba na mkewe wamekaa miaka 10 ya ndoa bila mtoto. Basi yule Dada akiwa anaongelea hiyo story utayahisi maumivu yake. Mumewe hakutaka kuangaika na ulimwengu japo ndugu walisema sana na dini iliruhusu kuongeza mke. Alimpenda sana mkewe. Kuna wakati alikata tamaa kabisa yule Dada ila nilikuwa namsisitiza awe na subira.
Baada ya miaka 10 wakaja kupata mtoto. Na sasa wana watoto wawili, wakiume na wakike. Mwenyezi Mungu yu pamoja na wenye subira.
 
Mambo ya fesibuku unaleta uku?





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…