Mshahara wa Dhambi; Nimepata ndoa lakini mtoto wangu akageuka mlemavu!

Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na mwanamke ni mama wa nyumbani tu. Katika ukaribu, nilimwambia mama kuhusu hicho kitu.

Hapo ndipo mama aliniambia niwe karibu na huyo mwanaume kwani kama wamekaa miaka 7 kwenye ndoa hawana mtoto, huenda ni tatizo. Kweli nilianza kumweka karibu kwa kumuomba huyo kaka kunitafutia kazi. Ili nisionekane mchawi niliongea na mke wake kwanza, nilimuomba hata niwe najitolea ofisini kwao. Hakukuwa na nafasi lakini kuna rafiki yake ana kampuni ya clearing, akaniunganisha na nikapata kazi ya mkataba wa mwaka.

Mimi lengo langu halikuwa kazi bali kuwa karibu naye na kweli ilisaidia kwani asubuhi nilikuwa nikienda naye ingawa jioni narudi mwenyewe. Mara nyingi tulitofautiana kutoka kazini, katika kuongea nilijilegeza mwanaume akawa ananiambia mambo mengi. Mwanzo alikuwa ananiambia kama rafiki kuhusu matatizo ya mke wake, jinsi walivyohangaika na kweli nilijua shida ni mke wake kwani mara nyingi akibeba mimba zinatoka.

Katika miaka 7 alishabeba mimba 14 zote zikatoka na hospitalini walisema ana sumu nyingi mwilini na ndiyo sababu ya mimba kutoka. Katika kuongea niligundua kuwa mwanaume hajawahi kuchepuka, hivyo tukajikuta tunakuwa karibu mpaka kuanzisha mahusiano. Aliniambia kweli anataka mtoto lakini hawezi kumwacha mke wake kwani wamepambana sana na wametoka mbali na anampenda. Ingawa iliniuma lakini nilipoongea na mama aliniambia beba mimba, akimuona mtoto atamwacha tu huyo mwanamke.

Kweli nilihangaika nikabeba mimba lakini shida ilikuwa ni mwanaume, pamoja na kunihudumia kwa kila kitu lakini alikuwa hata kuongea na mke wake na kunipeleka kwao ilikuwa ngumu. Nilimwambia rafiki yangu ampigie simu mke wake na kumwambia kila kitu. Alimwambia mambo mengi kuhusu mimba na jinsi tulivyo na ukaribu na mume wake akijifanya kama msamaria mwema. Kweli mke wake alipaniki, alinitafuta na kuniuliza mimi, nilimjibu vibaya kuwa wakati yeye anachezea kizazi sisi tunajua kuzaa.

Kitendo hicho kilimuumiza sana mwanaume lakini sikujali. Baada ya muda nilihangaika mpaka nikapata namba ya mama yake, nikamtumia rafiki yangu. Akampigia simu mama yake kumwambia kuwa mtoto wako kuna binti mdogo kampa mimba lakini kamtelekeza, hahudumii kwa chochote na inaonekana kuwa mke ndiye tatizo, hataki mume wake awe na mtoto.

Mama yake kama unavyojua kutaka mjukuu alinitafuta mwenyewe. Nilienda kujitambulisha kwake, ilikuwa ngumu lakini mama alinambia nenda pambania ndoa yako huyu mwanamke lazima kuondoka. Nilienda kwao nikakubalika na kupokelewa. Mwanaume aliitwa lakini aligoma kwenda. Ilikuwa ngumu wakamlazimisha anioe mke wa pili kwani sisi wote ni Waislamu. Mke mkubwa alipoambiwa aligoma kabisa lakini mwisho mwanaume akaweka msimamo tukafunga ndoa kimya kimya.

Mwanaume alinipangishia nyumba nzima lakini mimi sikuataka. Mama alinambia wewe ndiye mwenye mtoto, kama mwanaume aki*fa hapa mali ni zako kwani huyo mwingine hana uzazi, hivyo hamia kwake. Nilienda kwao kujifungua na niliporudi sikuenda kwenye nyumba niliopangishiwa bali nilienda kwa mume wangu, nilifika na kumkuta huyo mwanamke, nikaingia ndani na vitu vyangu. Mwanaume alikuwa kazini kwani sikuambia kuwa narudi.

Aliporudi kutoka ofisini na kunikuta pale ndiyo akaanza kumuomba mke wake kuwa aondoke kunipisha. Mwanamke alimwambia siwezi kuondoka katika nyumba kama unataka niandikie talaka ndiyo niondoke. Mwanamke aligoma kuondoka na mwanaume pia aligoma kumpa talaka. Tuliendelea kuishi hapa, nilikuwa na kitoto changu kichanga, ilikuwa ni kununiana tu kila siku.

Mama alinambia fanya kitu ili mwanamke aondoke, kama mwanaume akijua kuwa anataka k*uua mtoto wake ni lazima atatoa talaka. Nilifikiria nifanye nini lakini sikuwa na jibu. Siku moja mume wangu na huyo mke wake walikuwa wanangalia TV, hali ilikuwa na amani, nilitoka huko na mtoto wangu nikapita mbele ya mke wake makusudi, mwanaume akiwa bize kwenye TV, nilijitega makusudi ili niteleze.

Lengo langu ilikuwa ni kuteleza kidogo ili niseme mwanamke ndiye alinisukuma. Lakini haikuwa hivyo, wakati nateleza nilipapasa, nikavuta kapeti hivyo nikaanguka chini na kushindwa kumshika mtoto. Nilipiga yowe na mtoto alianza kulia, hapo hapo nilianza kupiga kelele kuwa mwanamke alinisukuma. Nilipiga kelele sana na kweli mwanaume alishtuka, alianza kumuokota mtoto chini lakini alikuwa analia sana, hatukujua ameumia wapi kwani hakua anatoka damu.

Nilianza kulalamika kuwa mwanamke wake anataka kun*iua ndiyo maana alinisukuma na kweli mwanaume aliniamini. Katika kugombana, mtoto alikuwa analia sana. Tulianza kutukanana mpaka kushikana mashati na kupigana, yote nilikuwa nafanya ili ugomvi uwe mkubwa. Baada ya kuona mambo yamekuwa mengi, mwanaume alimuandikia mke wake wa kwanza talaka na kumuambia aondoke pale nyumbani. Kwangu ilikuwa ni sherehe, ilikuwa ni ushindi mkubwa kwani nilijua akiondoka kila kitu kitakuwa changu.

Ilikuwa ni usiku, hivyo asubuhi alimfungashia kila kilichokuwa chake na mwanamke akaondoka. Aliondoka lakini hali ya mtoto ilibadilika, tulikaa kama mwezi hivi hali yake inazidi kuwa mbaya, viungo vililegea na akawa hakazi vizuri. Akawa ni mtu wa kulia tu, kufika hospitalini ndiyo tukambiwa kuwa mtoto ameumia kwenye ubongo, hivyo wakatuambia kuwa sehemu ya ubongo inayocontrol kutembea, misuli na kila kitu imeharibika, hivyo maisha yake yote yatakuwa ni mtu wa kulala na kusaidiwa kwani tayaria mekua mlemavu.

Kwangu ilikuwa ni kama kilio sikuwahi kuamini, ingawa nilijua kuwa mtoto wangu alidondoka kwa sababu yangu lakini nilikuwa namlaumu yule mwanamke. Hali ya mtoto ilizidi kuwa mbaya jinsi alivyoendelea kukua, mlemavu hawezi kufanya chochote, ni kutoa mate tu, kuongea ilikuwa shida. Nililazimika kuacha kazi ili kumhudumia mtoto kwani wasichana wa kazi hawakai, mume wangu kila pesa tuliyopata tulikuwa tunahangaika kwa ajili ya mtoto.

Hali ilikuwa ngumu kila siku, tulikuwa tunagombana, mwanaume akaanza kunywa pombe, na kwa wanawake alibadilisha kila siku. Kilichokuwa kinaniuma zaidi ni kwamba alikuwa haachi kumuongelea X wake, ananilinganisha kwa kila kitu. Mwezi uliopita mwanaume alirudi akiwa na hasira sana, alinip*iga sana na kuniambia kuwa hanitaki, isingekuwa ni mtoto ningeniacha, ingawa nilizoea lakini siku hiyo ilikuwa tofauti, nikajiuliza shida ni nini basi katika kufuatilia nikajua ni X wake, nilikuta meseji za dada yake akimuambia kuwa alikuwa amekutana na aliyekuwa wifi yake na ana mtoto mdogo ni kama alikua anamuuliza mtoto ni wanani!

Ninaumia sana kwani mtoto wangu ana miaka 4 sasa hajatembea hajaanza kuongea na kila kitu namfanyia mpaka sasa hivi anavaa pampasi. Nikitazama ndoa haina amani, kila siku ni kugombana. Mimi bado mdogo, kwani nina miaka 28, mwanaume hataki kuzaa tena mtoto mwingine na tuna miaka 2 hatujawahi kukutana kimwili, nina hasira na sijui nifanye nini! Nimechoka na haya maisha, natamani hata kumuacha huyu mtoto kwa baba yake niondoke, lakini namuonea huruma kwani hakuzaliwa hivi, ni mimi. Nina hasira sana na yule mwanamke, hivi kwanini hakuondoka nilipokuja mpaka kasababisha mwanangu kuwa mlemavu, angekubali kuondoka nisingekuwa na haja ya kumuumiza mtoto wangu naumia, sijui nifanye nini!
MANENO YA CLASSMATES WANGU
Mama ako ana mume?
 
That's the power of Karma!
Karma is real!!

What goes around...comes back around!

Halafu kuna ng'ombe huwa zinakaza fuvu!... Eti Mungu Hayupo!

Pigwa tukio la namna hii... Ndio utajua..hujui!?

Be good to all the people, chuki,tamaa ni mapito... Bado kuna safari mbele...baada ya leo!
 
My Condolences to the young guy he didn't derseve to pay the price of her mother's envy and her father's wickedness.
 
Its cold tea🍵🍵🍵🍵🍵🍵🍵
 
Huu upumbavu na umbea wenu wa kwenye salon zenu msiwe mnatuletea huku.
 
Hayo ndo matokeo ya mama kasema,mama kaniambia.....kipi kinakushangaza hapo.

Hakika umevuna ulichokipanda muda haudanganyi🏃‍♀️.
 
Karma is bitch...!!!
 
MANENO YA CLASSMATES WANGU.
Shukuru mungu huyo dada aliyeondoka angukuwa mchawi ww na mama yako chizi mngelogwa na kuwa vichaa 2. Huyo huyo dada angekuwa mtoto wa town angekuwa kashakusukia ramani chafu ambayo ungejutia milele na hapo unakuja kuachwa soon omba msamha utembee na mkono wa MUNGU
 
Ka

Karma haipotei njia.
 
Back
Top Bottom