Mshahara wa engineer wa halmashauri

Mshahara wa engineer wa halmashauri

Mkuu yule akienda Site allowance ni 100,000 wanakaaga hata siku 10 au 14 unashagaa analipwa 1,400,000 kama Night Allowance 150,000 kama Launch allowance bado kwenye miradi wanashirikiana na Wahandisi kupiga pesa.
umeamua kutuchafua sasa
 
UFAFANUZI.

1/Mishahara ya watumishi wa serikali kuu ni sawa sawa na serikali za mitaa (Halmashauri). Scale zao za mishahara ni zile zile.

2/Mishahara ya watumishi wa umma kwenye mashirika ya serikali(Mashirika ya umma) ni tofauti na wale wa serikalini(yaani halmashauri au serikali kuu).

3/Sina uhakika sana na Exact figure lakini mshahara wa Engineer(Degree holder) anaoanza nao serikalini ni kama laki tisa na kitu(Bila makato), ila anapokatwa makato anabakia(Take home) na wastani wa Laki sita.

4/Katika ajira za serikalini, kada yenye mishahara wa juu zaidi ni kada ya Afya(Ambapo Daktari aliyeajiriwa anaanza na mshahara wa 1.4M kabla ya makato, na akikatwa makato anabakia na wastani wa 850,000/=) Kada zingine kama Elimu, Kilimo, Uhandisi, Uhasibu nk. hazitofautiani sana ni nadra kukuta mfanyakazi wa kada hizo anaajiriwa na kuanza na mshahara unaozidi Milioni.

5/Kwa sasa(Toka Magufuli aingie madarakani) posho mbalimbali nje ya mshahara kwa watumishi wa serikali wa kada zote kwa zaidi ya 90% hazipo kabisa(Ni kama zimefutwa kinyemela). Sio Daktari, sio Engineer nk. wote wanalia njaa.
 
Sawa mkuu nashukuru kwa kunifungua hili
yaap asante kwa kuelewa .... ni vyema kutambua idara za serikali na scale zao wanatofautiana sana kutoka serikali kuu, serikali za mitaa, mashirika ya uma .,, afya nk. unakuta wote mna elimu na ujuzi sawa mmeajiriwa wakati mmoja sekta tofauti... mishahara inatofautiana..
 
Kama Engineers wengi Wa TANROADS hawakaagi Ofisini Kuzurura mtindo mmoja Night allowance yao kwa Siku ni ndefu

kuna launch allowance ambapo mwaka 2014 ilikua 10,000 kwa mwenye Degree 10,000 × siku 12
Ndio maana nitaendelea kufanya shughuli zangu binafsi.

Mishahara na posho za aina hii utaishia tu kuwa mwizi.
 
UFAFANUZI.

1/Mishahara ya watumishi wa serikali kuu ni sawa sawa na serikali za mitaa (Halmashauri). Scale zao za mishahara ni zile zile.

2/Mishahara ya watumishi wa umma kwenye mashirika ya serikali(Mashirika ya umma) ni tofauti na wale wa serikalini(yaani halmashauri au serikali kuu).

3/Sina uhakika sana na Exact figure lakini mshahara wa Engineer(Degree holder) anaoanza nao serikalini ni kama laki tisa na kitu(Bila makato), ila anapokatwa makato anabakia(Take home) na wastani wa Laki sita.

4/Katika ajira za serikalini, kada yenye mishahara wa juu zaidi ni kada ya Afya(Ambapo Daktari aliyeajiriwa anaanza na mshahara wa 1.4M kabla ya makato, na akikatwa makato anabakia na wastani wa 850,000/=) Kada zingine kama Elimu, Kilimo, Uhandisi, Uhasibu nk. hazitofautiani sana ni nadra kukuta mfanyakazi wa kada hizo anaajiriwa na kuanza na mshahara unaozidi Milioni.

5/Kwa sasa(Toka Magufuli aingie madarakani) posho mbalimbali nje ya mshahara kwa watumishi wa serikali wa kada zote kwa zaidi ya 90% hazipo kabisa(Ni kama zimefutwa kinyemela). Sio Daktari, sio Engineer nk. wote wanalia njaa.
Namba 2 nadhani ina majibu yote.
 
3/Sina uhakika sana na Exact figure lakini mshahara wa Engineer(Degree holder) anaoanza nao serikalini ni kama laki tisa na kitu(Bila makato), ila anapokatwa makato anabakia(Take home) na wastani wa Laki sita.
Kada zingine kama Elimu, Kilimo, Uhandisi, Uhasibu nk. hazitofautiani sana ni nadra kukuta mfanyakazi wa kada hizo anaajiriwa na kuanza na mshahara unaozidi Milioni.

Mkuu kabla hujatudanganya kuwa na tabia ya kurudia kusoma mara mbili
 
Eng. mwenye Bachelor serikali kuu na halmashauri ni TGS E kwa kuanzia ambayo ni laki tisa na elfu kadhaa.
 
Najiuliza kwa nini nchi yetu mishahara ni siri bado tofauti na nchi zilizoendelea?
Wenzetu wanajua tokea grade za chini mfano daktari,mwalimu anapokea wastani wa kiasi gani kwa mwaka.
Hii inawafanya kujiandaa kukazania wanapoona kuna maslahi yanayowafaa.
Bongo mshahara unaujua unapoanza kazi..
Tutaheshimiana mtaani kweli
 
Mimi pia nina mashaka Kama umelewa maelezo yangu, Soma vizuri kwa ufasaha usikimbilie kuvamia vitu ambavyo ujavielewa vizuri.

Maenigeer wana madaraja yao ya malipo kutokana na sector walizopo kwa hiyo niliposema vile sikuangalia hayo mmashirika au sekta binafsi nimeangalia tuu Kama mtumishi wa seriakali na taaluma yake ya engineering kulingana na daraja lake lilopangwa Kama ni TGS E au TGS D.

Pia huku chini Kuna mdau alinisahihisha na nimeshukuru kwa kuniweka sawa, Sasa hapa Sijaona umuhimu wewe Kuna kuniqoute na kuandika vitu vyako mdaa wengine kabla haujakurupuka kuchangia Uzi pitia kwanza Uzi wote ndipo uanze kuvamia watu.

Pia ujifunze kutumia kiswahili sanifu, kuchanganya kingereza na kiswahili sio vizuri au kutumia vifupishi vya maneno Kama "mm" badala ya kuandika "mimi" au ungeandika "Engineer" kuliko kuandika "Eng" usingepungukiwa na chochote ila ungeeleweka zaidi.

Jioni njema.
Umepaniki ila jamaa kakueleza vizuri
jIONI NJEMA KWAKO PIA
 
Najiuliza kwa nini nchi yetu mishahara ni siri bado tofauti na nchi zilizoendelea?
Wenzetu wanajua tokea grade za chini mfano daktari,mwalimu anapokea wastani wa kiasi gani kwa mwaka.
Hii inawafanya kujiandaa kukazania wanapoona kuna maslahi yanayowafaa.
Bongo mshahara unaujua unapoanza kazi..
Ewaaaa !!!ata mm nshahangaika saana kuulizia nafichwa fichwa inatokea umemaliza chuo unatafta kaz private ukipata mshahara ndo unaanza kuujulia uko ,,,tena kwa uhakika Mdg sana
 
Najiuliza kwa nini nchi yetu mishahara ni siri bado tofauti na nchi zilizoendelea?
Wenzetu wanajua tokea grade za chini mfano daktari,mwalimu anapokea wastani wa kiasi gani kwa mwaka.
Hii inawafanya kujiandaa kukazania wanapoona kuna maslahi yanayowafaa.
Bongo mshahara unaujua unapoanza kazi..
Divide & Rule
 
Back
Top Bottom