Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

Utapata tu kuwa na subra.

Mimi uliingia jana jioni.
 
Jitahidi uwe na extra income mbali na mshahara wako, ama la uwe na bajeti nzuri walau mishahara ikutane,,, ndo kwanza tar 22, tayari unasumbua huoni mshahara! Kuna Nadharia inasema kuwa kama kazi unayofanya huwezi kufanya savings kwa dharura kama hizi n.k jitathimini sana na kazi unayoifanya !!!!!
 
Nadhani unachanganya mambo mkuu...nimeshamuona mja analipwa tsh 37m base pay, kati kati ya mwezi anakopa 50k

Unataka kusema mtu huyo kazi yake haimuwezeshi kufanya savings au yeye ana-adjust tundu la kuvujishia anachopata?
 
Back
Top Bottom