Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

Nadhani unachanganya mambo mkuu...nimeshamuona mja analipwa tsh 37m base pay, kati kati ya mwezi anakopa 50k

Unataka kusema mtu huyo kazi yake haimuwezeshi kufanya savings au yeye ana-adjust tundu la kuvujishia anachopat
Ishi maisha yako,,,,hakunaga pesa inayotosha,,,, kuna mtu analipwa laki moja na anafamilia mambo yanaenda fresh, pia kuna mtu analipwa hata 45m monthly lakini hakuna cha maana anachofanya , kamwe usiige,,,, maisha ni yako
 
Mkuu, unachosema, ulichosema, unachoulizwa...havifanani nadhani!

Si ni wewe umemshangaa mtu kuwa kama hana savings maana yake kazi yake haifai? Sasa hivi imekuwa pesa haitoshi?
 
Back
Top Bottom