njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Huu uzi mara nyingi utauona unakua updated kuanzia tarehe 20 hivi mpaka 27 baada ya hapo wale wale waliokua wanalia lia hapa wanahamia kula kimasihara na uzi wa pombe mbali mblai wa mshana ikifika tarehe 10-17 hivi haooo wanahamia kwenye siasa wanatoa hasira zao weeee ukichanganya na kufulia sasa wanakua wakali wakali tuuu 😅😅