Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wekeni sequel
Hii januari tuwe tunarudi tena januari....
Sasa tuendelee na May
 
Ukipata financial freedom unakuwa umejipunguzia kukurukakara na vya kupambania vitapungua na utakuwa unatafuta nini duniani bora ufe tu 🀣🀣🀣
 
Ambao hamjapata, jioni mnaweza kufanikisha
Kuna Jamaa yupo Garage.. alienda kuchokonoa kitu huko.. inatakiwa 500k alitegemea mzigo utasoma asubuhi.. na yupo mkoa sio wake..

Wakifelisha leo, jamaa itabid aache gari apande Bus.. aingie gharama tena za kufata gari..

Huku kuchelewesha hela kunaumiza watu hawajui tu.
 
Kama ana sehemu ya kujihifadhi kwa muda, ni bora asubiri ili kuepusha gharama zaidi.
Sijajua sababu ya msingi ya kuwa na utofauti katika utoaji, inawezekana labda ni matatizo ya kiufundi; kwa sababu data zinaingizwa na binadamu kama sisi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…