Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Naona deni langu limepungua,, kana kwamba washapita na chao,, bila shaka kesho meseji kutoka NMB itaingia.
Kilichobaki ni kusubiri Increment ya mama hapo July.
Mama unaupiga mwingi
Mitano Tena kwa mama
Oktoba tunatiki
​
 
Yaani mshahara ukiingia tu from no where najikuta nipo kwa morombo naletewa mbuzi choma na kachumbari ya kutosha...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani mshahara ukiingia tu from no where najikuta nipo kwa morombo naletewa mbuzi choma na kachumbari ya kutosha...
🀣🀣🀣🀣🀣
Na ukipungua ndio akili inakaa mahali pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…