shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eti baada ya wiki mnapaki basi.Nafuatilia kwa karibu! Kesho ni kitimoto za lite kadhaa huku laki ikiwa kwenye mfuko wa shati! Nyumbani mama anachemsha kuku wa kienyeji kutoka pale shekilango! Baada ya wiki tunapaki tena basi!
Ndo maisha yetu watumishi!
Ikipungua ndo unakuja kugundua kumbe mshahara ni mdogo...🤣🤣🤣🤣🤣
Na ukipungua ndio akili inakaa mahali pake
Yaani mshahara ukitoka kesho, juma tano ukiomba laki kwa mtumishi hupati, sio kwamba anakunyima, hana!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eti baada ya wiki mnapaki basi.
Siku kadhaa washaishiwaBakabaka tayari
Ukipokea full waachie chaoNilichukua mkopo benki ya Posta,,mwezi Mei tarehe 20 lakini naona kwenye ESS makato hayajakatwa
Mtuache jamani🤣🤣Yaani mshahara ukitoka kesho, juma tano ukiomba laki kwa mtumishi hupati, sio kwamba anakunyima, hana!
Nipo humo humo natoa experience yanguMtuache jamani🤣🤣
Kwani mshahara tayariNilichukua mkopo benki ya Posta,,mwezi Mei tarehe 20 lakini naona kwenye ESS makato hayajakatwa
Mshahara bado ila makato tayari yameshakatwaKwani mshahara tayari
hivi leo wanaweza kutoa kweli?🥲huu mwezi kwangu ulikuwa 😇😇aaah sitosahau walahi napumulia oxygenNaona makato yashafanyika kikamilifu huko Hazina.
Maana yake ni kwamba ndani ya masaa 24 kutoka sasa tunalipwa!
Masaa 12 yamebakia tuupate ukwelihivi leo wanaweza kutoa kweli?🥲huu mwezi kwangu ulikuwa 😇😇aaah sitosahau walahi napumulia oxygen
Jitetee kama siyo kweli?Sio kweli
Hivi unaangaliaje makato kabla salary haijatoka?Makato tayari ,muda si mrefu mambo yatakua mazuri
Nilichukua mkopo benki ya Posta,,mwezi Mei tarehe 20 lakini naona kwenye ESS makato hayajakatwa
Kwenye ESS,mikopo yako yote ipo paleHivi unaangaliaje makato kabla salary haijatoka?
Je kama hauna mikopo?Kwenye ESS,mikopo yako yote ipo pale