Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
kma una 30k jumatatu unafika vizuri, weekend
Huwezi kuwa mtumishi wa uma alafu huna 1/3 mkuu itoshe kusema wewe ni tajiri mimi ningerudi bank kutafuta heshima sipendi kabisa mikato miwili kwenye mshahara mmojaHahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv
😂😂😂Mi mshahara wangu una koma moja tu, namba zako kubwa sana kaka
Una salary scale ya 1.6-1.7Hahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv
Unapenda sana kukopaHuwezi kuwa mtumishi wa uma alafu huna 1/3 mkuu itoshe kusema wewe ni tajiri mimi ningerudi bank kutafuta heshima sipendi kabisa mikato miwili kwenye mshahara mmoja
Sana mkuuUnapenda sana kukopa
Achana na mikopo kula maisha kama DUBULIHASA ,Sana mkuu
Nakula posho kiongoziAchana na mikopo kula maisha kama DUBULIHASA ,
Ukiona mtu, anaulizia salary kila saa ujue hana mishe nyingine zaidi ya kusubilia saa100 atoe mpunga.Kuna mishe nyingi nje ya mshahara zinaingiza mpunga
Hutaki laana kubwa kubwa🤣🤣Mambo ya kupaka watu ma*vi nipewe buku 7 hapana hapa najua wadau wangu watafanya kama tunavofanyaga week ya mwisho wa mwezi
Weee 30 yote una mpango wa kupindua nchi nini🙆♂️🙆♂️Inshallah ikawe kheri maana Nina elfu 30 tu hapa ya kuzugia maisha
🤣🤣🤣🤣 kwakweli huo ni unyanyasaji, raha ya deni msumbuane kidogo. Sasa wao ndio nini kufyeka pesa za wenzao namna hiyo, hata bila taarifa🙆♂️🙆♂️Hahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv
Kwakweli🤣🤣🤣Bro we ni tajiri sana 1.2 ondoka kwenye huu uzi 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 hawana huruma kabisa.Hivi Hazina weekend hawafanyi kazi?
Hebu mwambieni afanye kamchakato, atatuua.Ukiona mtu, anaulizia salary kila saa ujue hana mishe nyingine zaidi ya kusubilia saa100 atoe mpunga.
Huku bado sa ii moshi ni mweusi rafiki. 😃
JidanganyeUkiona mtu, anaulizia salary kila saa ujue hana mishe nyingine zaidi ya kusubilia saa100 atoe mpunga.
hio inatosha kabisa kukufikisha jumatatu kama hutoki weekend na chakula kipo ndani 😀😀Inshallah ikawe kheri maana Nina elfu 30 tu hapa ya kuzugia maisha