Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,739
Ila watumishi wa umma wengi mna hali mbaya, wachache wanafaidi keki ya taifa. Nashukuru Mungu huku kwetu yaani hata huulizii mshahara maana huwa inakutana na kuishi pamoja.
Nitauza hata bangi ndo ina helaUnaijua biashara ww
Kijijini au sioIla watumishi wa umma wengi mna hali mbaya, wachache wanafaidi keki ya taifa. Nashukuru Mungu huku kwetu yaani hata huulizii mshahara maana huwa inakutana na kuishi pamoja.
Daa hii comment imenifanya nicheke sana usiku huu mpaka machozi yamenitoka. Hii comment imenigusa sana. Imagine gari limezidi kilometa za service, ada inatakiwa, bima inatakiwa, likizo inaisha watoto warudi likizo kutoka kwa babu yao sasa watumiwe nauli warudi home, kodi inatakiwa biashara mbaya, wazazi wanapiga mizinga kama kikundi cha magaidi. Kama kuna mtumishi wa umma sio mwizi basi wachache sana.Huu uzi nimeusaka sana.
Vipi jamani hali ikoje? Soon nakimbia familia🙆♂️🙆♂️
Serious?CRDB tayari ndugu zangu mm nimeona sasa hivi saa nne usiku
Ndiyo ndugu yanguSerious?
Okay. Mi ni crdb sijaona sms ngoja tuoneNdiyo ndugu yangu
Poa nimeona na incrementOkay. Mi ni crdb sijaona sms ngoja tuone
Sawa. Increment nadhani kila mtumishi ni mwezi alioajiriwa.Poa nimeona na increment
Walimu wataiba chaki....Daa hii comment imenifanya nicheke sana usiku huu mpaka machozi yamenitoka. Hii comment imenigusa sana. Imagine gari limezidi kilometa za service, ada inatakiwa, bima inatakiwa, likizo inaisha watoto warudi likizo kutoka kwa babu yao sasa watumiwe nauli warudi home, kodi inatakiwa biashara mbaya, wazazi wanapiga mizinga kama kikundi cha magaidi. Kama kuna mtumishi wa umma sio mwizi basi wachache sana.
Anawachuuza salary bado sanaOkay. Mi ni crdb sijaona sms ngoja tuone
AnaonekanaAnawachuuza salary bado sana
Siwezi kuwadanganya wapambanaji wenzangu salary kwangu imeingia mida tu nachukulia CRDBAnaonekana
Mshahara kwani tayari?Anawachuuza salary bado sana
Mshahara gani tarehe 21Siwezi kuwadanganya wapambanaji wenzangu salary kwangu imeingia mida tu nachukulia CRDB
BadoMshahara kwani tayari?
Hawa jamaa wanatuzingua Sanaa....jumatatu uhakikaBado
Hilo zimwi silitaki.Click salary advance hapo. Vuta mpunga. ☺️☺️☺️
Aaah sio poa mkuu!Daa hii comment imenifanya nicheke sana usiku huu mpaka machozi yamenitoka. Hii comment imenigusa sana. Imagine gari limezidi kilometa za service, ada inatakiwa, bima inatakiwa, likizo inaisha watoto warudi likizo kutoka kwa babu yao sasa watumiwe nauli warudi home, kodi inatakiwa biashara mbaya, wazazi wanapiga mizinga kama kikundi cha magaidi. Kama kuna mtumishi wa umma sio mwizi basi wachache sana.