1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Oyaa Rudi Uzi wa euro kuleHafu wewe unataka kula hela yangu wewe.. Mshahara wangu mdogo digits 6 tu.
Tsh xxx,xxx/=
Mteja wa nini au na wewe tukupeleke kwa DC wa Kino??Ndugu mteja tunaomba jina na mahali ulipo kwa msaada zaidi
Halafu hata hilo wazo nilikua sina!Hafu wewe unataka kula hela yangu wewe.. Mshahara wangu mdogo digits 6 tu.
Tsh xxx,xxx/=
Sema bro nikitaka kununua ndinga ntakushirikisha,ngoja kibubu kijaeHahahaha gereji part time mzee. Mida ya jioni na weekend. Mchana nakomaa na PEPMIS
Bado hawajafanya mambo tu mzee?Kazi tunapiga. Wao watulipe
Njaa mzee 😂😂Mz
Oyaa Rudi Uzi wa euro kule
Bado mzee, dahBado hawajafanya mambo tu mzee?
Hahaha haina shida lazima mambo yatakaa one daySema bro nikitaka kununua ndinga ntakushirikisha,ngoja kibubu kijae
Kesho leo me nakula nnLabda kesho.
Hahahahaa 🥰🥰🥰🥰Halafu hata hilo wazo nilikua sina!
Kwanini nile hela yako mkuu? Kua na amani
Njaa ya siku moja haiuiKesho leo me nakula nn
Una attachments?Nilijaza. Full 90% hapa nasubiri alhamis ijayo naweka 100% HOD anapitisha tu ata hasomi. Nchi ngumu sana. Bora opras ya makaratasi alikua anatubana. Hii inamzidia. Nimekuta ofisi flani hod anawapa password ya account yake wajipitishie.
Duh pole sana mzee baba,huku tunazimalizia OC kwa Kasi.Bado mzee, dah
Nitaweka PDF yoyote tu. Maana zile activities moja moja ukianza kuweka attachment utachoka. Nani ata download asome kwanza.Una attachments?
Nadhani kazini kwetu tulimaliza mapema. Yaani utadhani sio mwisho wa mwaka. Mwezi mzima sijaona ata safari ya kwenda ata Moro. Budget finyu sanaDuh pole sana mzee baba,huku tunazimalizia OC kwa Kasi.
Duh aisee poleni mkuu,huku zimetiririka Sana mwishoni.Nadhani kazini kwetu tulimaliza mapema. Yaani utadhani sio mwisho wa mwaka. Mwezi mzima sijaona ata safari ya kwenda ata Moro. Budget finyu sana
Sema unadaiwa grocery ya pombe, mwenye duka hakunyimi kukukopesha mahitaji muhimu, sema bar ndiyo kimbembe.Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.