Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkuu unajitahid kushinda kwenye uzi wetu...
Serikalini kuna posho mkuu na kuna tax exemption
Mkuu, kwa kumbukumbu zako ni mwaka gani kulikkuwa na Tax exemption..?
Maana navyowajua TRA wasemehwle hela siziso na bughudha kama hizo..😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…