Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Umeelewa nilichokiandika lakini!!?? Au umeshindia uji tangu asubuhi akili haiko timamu[emoji16]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Najibizana na mtu anatumia Y5
IMG_0936.jpeg
 
Watu wa UTT acheni kuharibu uzi huu muhimu. Life span ya Uzi huu ni siku mbili au tati tu Kwa Kila mwezi, so Uzi upo sehemu sahihi na muda sahihi. UTI zenu zifungulieni Uzi wake tujadili hata Kila siku.
 
Mkuu huu ni uzi wa mshahara, upuuzi wenu wa UTT kauanzishieni uzi wenu... hapa tuna-discuss vitu vya msingi acheni ujinga 🤣😂
Sawa Mimi nilidokeza upuuzi wa utt maana Kwa ujinga wangu unaendana na huu Uzi! Case closed, haya umetoka ? Maana nasubiria nikapige bia zangu nne nilale
 
Najibizana na mtu anatumia Y5
View attachment 3414581
Ulimbukeni wa simu ndio huwa sina we mama,we endelea kusubiri makombo ya ccm ya tsh 650,000 take home ndio maana uko humu unapiga mayowe na hapo unakuta una Samsung ya mkopo ndio maana akili ya kujiongeza nje ya mshahara huna akili kisoda imefikia mwisho hapo

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom