Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

. Kukopa hela bank kwa ajili ya kununua gari huo ni uvivu wa matumizi ya akili.

. Nina miaka kadhaa kazini lakini sijawahi kukopa na sitegemei kukopa kabisa.

. Jitahidini kuwekeza, na kuweka mitego ya pesa sehemu mbali mbali,
 
Wengi tuliingia kwenye huo mtego kwa kufuata mkumbo tu 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…