Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Twende tukiwa tumeshiba
Mi nitashiba hata wasipotoa mshahara vp kuhusu haki zangu zingine kama uhai wangu ambao kwa hivi karibuni Watanzania wengi hawana uhakika nao, vp kuhusu ndugu zangu ambao nina uhakika kwamba hata issue hiyo ndogo ya kushiba hawana uhakika nayo kutokana upumbavu wa akina Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…