Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Au mabeberu washaanza kufanya yao
Zamani mzigo ulikuwa unaingia kwa wakati mmoja kwa wafanyakazi wote.
Siku hizi kuna watumishi wanakaa mpaka siku nne, baada ya wengine kupata! ndiyo wanawekewa mishahara yao. Hii siyo hali ya kawaida hata kidogo.
 
Hivi kuna watu bado hawajapata salary ,kwangu ad saiz bado nmewauliza wadau wanasema tangu ijumaa wao ilisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…