Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

waweke mapema jamanii mbona kwenye sikukuu mwaka jana au juzi tarehe 19 mambo shwaaaa
 
Hii LOAN RESTRUCTURING upande wa benki ya CRDB haifanyi kazi kabisa shida ni nini?
Haifanyi kazi kwenye mabenki yote sio CRDB tu. Hata Loan takeover nayo haifanyi kazi kwenye huo mfumo kwa mabenki yote isipokuwa Bayport tu ndio option ya Loan takeover inakubali.

Utumishi wamekiwa wazembe katika hili.
 
Yaan sijui wanatuchukuliaje aisee
 
Kuna mtu anakunja mauzo laki tatu kwenye chips hapo mbagala
Kama upo siriaz nikupeleke
Hiyo 20,000 ni minimum
Dar watu wanakula chips 24hrs
Vibanda havifungwi
Kila mtu haishi Mbagala, au tuseme Dar
 
Mzigo tayari tukutane January 2026 hii 2025 ishaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…