Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kule Kwenye page ya sekretariati ya ajira wamesema mshahara wa January tunapata walimu wote kikubwa tuwahi kuripotKama kesho ndio unaenda kureport hadi upate Check number hada kwa Tamisemi ni kamchakato mkuu huwa wanadelay sana
Na Payroll huandalaiwa mapema sana before 15 uhakika wa kupata salary hii ni less than 50%
Wahi mzee unaweza bahatika lakiniKule Kwenye page ya sekretariati ya ajira wamesema mshahara wa January tunapata walimu wote kikubwa tuwahi kuripot
Lakn acha nikusikilize wewe hawa wanasiasa sio wa kuwaamini sana
Uwezekano wa kupata ni mdogo sana mkuu, usiweke sana matumaini.. Naongea kutokana na uzoefu wangu.Kule Kwenye page ya sekretariati ya ajira wamesema mshahara wa January tunapata walimu wote kikubwa tuwahi kuripot
Lakn acha nikusikilize wewe hawa wanasiasa sio wa kuwaamini sana
Nmekuelewa mkuuUwezekano wa kupata ni mdogo sana mkuu, usiweke sana matumaini.. Naongea kutokana na uzoefu wangu.
Ni kubet tuWahi mzee unaweza bahatika lakini
Huwezi pataNi kubet tu
Itakavokua ndo hivohvoHuwezi pata
Walimu tulipot mwez wa pili?Mm nilikaa miez mi 5 bila mshahara ila ilikua ni taasisi kabla cjaja taasisi ya CBT baadae nikaandika arrears nikalipwa mzigo wa kutosha 😁 kama mpaka sasa hv hajariport na ni halmashauri 😁 ajipange ataambiwa arud mpka noti ikiingia na ni mwez wa pili huko labda
Huwez pata mzee payroll mpk tar 10 zinakua tayar may be ungeriport tar 5 hv alafu hao secretariet wameishia hapo mengine ni ya muajili ambae kwa ww ni mkurugenz wa halmashauriItakavokua ndo hivohvo
Ndo maana nimesema itavokua ndo hivohvoHuwez pata mzee payroll mpk tar 10 zinakua tayar may be ungeriport tar 5 hv alafu hao secretariet wameishia hapo mengine ni ya muajili ambae kwa ww ni mkurugenz wa halmashauri
Sio kuriport aisee 😁 baada ya kuriport na ukajaza mikataba ya ajira utaambiwa urud may be uende halmashauri inayojiweza mpewe pesa ya kujikim ukapambane kijijinWalimu tulipot mwez wa pili?
Hayo nayajua nachofanya ni kwenda kuripot Kwa mkurugenz na kurud nyumban nasubir tarehe ya kwenda kazn Kabsa maana vituo vya Kaz wamepanga tayar moja kwa mojaSio kuriport aisee 😁 baada ya kuriport na ukajaza mikataba ya ajira utaambiwa urud may be uende halmashauri inayojiweza mpewe pesa ya kujikim ukapambane kijijin
Yeah 👍Hayo nayajua nachofanya ni kwenda kuripot Kwa mkurugenz na kurud nyumban nasubir tarehe ya kwenda kazn Kabsa maana vituo vya Kaz wamepanga tayar moja kwa moja
Asante sana kwa ufafanunuzYeah 👍
Pamoja sana karibu chamani. Key points usiridhike na elimu yako kaz kwa muda kapige shule kujiongezea nafsi zaid, shule ndio mtaji wa mtishi wa ummaAsante sana kwa ufafanunuz
Taasisi gani hiyo mkuu, ilikufanyia ukiritimba namna hiyo..?Mm nilikaa miez mi 5 bila mshahara ila ilikua ni taasisi kabla cjaja taasisi ya CBT baadae nikaandika arrears nikalipwa mzigo wa kutosha 😁 kama mpaka sasa hv hajariport na ni halmashauri 😁 ajipange ataambiwa arud mpka noti ikiingia na ni mwez wa pili huko labda
hahaha sikua na njaa kwasabab taasisi yenyewe ni kubwa na activities zilikua za kutosha so posho zilikua zinaendesha lifeTaasisi gani hiyo mkuu, ilikufanyia ukiritimba namna hiyo..?
Bila shaka uliteseka sana, njaa ilikuwa kalisana😁
Kaka watu wameanza kulipwa mshahara mapema hivi karibuni tu waulize waliajiriwa miaka 15 nyuma wakuelezs ulikuwa unakaa miezi hata mi4 no salaryTaasisi gani hiyo mkuu, ilikufanyia ukiritimba namna hiyo..?
Bila shaka uliteseka sana, njaa ilikuwa kalisana😁