Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Nakubaliana nawe 💯 % mkuu.
 
Wakuu, habari za asubuhi, naomba kuwekwa sawa, watumishi wa kada ya ualimu walioajiriwa January 2011 kwa sasa wanapaswa kuwa daraja gani? Natanguliza shukrani zangu kwenu. ( Wale wenye shahada).
 
asante kwa swali wanakuja?
 
Back
Top Bottom