G
guest-1788671453
Guest
kama ni ivyo kesho siji kazini
Hahahakama ni ivyo kesho siji kazini
😅kama ni ivyo kesho siji kazini
muda wa kujichanganya na waajiriwa soon nitaungana na ninyi kuuliza kama miamala imeingia au lah🤗🤗
kwahiyo hizi tarehe mnatamba wenyewe maana maokoto ni nje nje🤭😄😄
kwako tayari?Bye 👋 tukutane mwezi wa 3...
Mapema sana NMBkwako tayari?
Mwalimu eti eehmuda wa kujichanganya na waajiriwa soon nitaungana na ninyi kuuliza kama miamala imeingia au lah🤗🤗
kwahiyo hizi tarehe mnatamba wenyewe maana maokoto ni nje nje🤭😄😄
Huku crdb kwangu 0-0Mapema sana NMB
Vipi na kwako tayari?Mwalimu eti eeh
Nalia timing kodi ya pango kwa walimu. Naona umefika kama umeshapokea. Sikupigi kibomu ShadeeyaVipi na kwako tayari?
Au upo kama mimi unataka kujua kama umeingia nikawadai wadeni wangu? 🤪
Hahahaaa. Koh koh.Nalia timing kodi ya pango kwa walimu
Mwalimu sio wa kumkalia mbali tarehe hizi, mshahara wake ni kama mpira wa konaHahahaaa. Koh koh.
🤣🤣 huu sasa ugomvi unaleta.Mwalimu sio wa kumkalia mbali tarehe hizi, mshahara wake ni kama mpira wa kona
Kwamba unagombaniwa?Mwalimu sio wa kumkalia mbali tarehe hizi, mshahara wake ni kama mpira wa kona
Yeah unagombaniwa na madeni na mahitaji yanayozidi kipatoKwamba unagombaniwa?