Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Yes maana hata Mimi crdb sijaona kitu ! Yap uingie leo tuBado mkali. Ila inabidi leo iingie. Weekend ndefu sana hii
Yes maana hata Mimi crdb sijaona kitu ! Yap uingie leo tuBado mkali. Ila inabidi leo iingie. Weekend ndefu sana hii
Ata mimi CRDB kwa Maswaiba. Nasubiria meseji tu hapaYes maana hata Mimi crdb sijaona kitu ! Yap uingie leo tu
Makato bado mkuu. Kama kesho sikukuu ngoma jumatatuWaweke tu hakuna namna
We ushasema sio mwajiriwa unawashwa nini hapaZanzibar tayari,
Mwanangu unajua waga unazingua lakini!?Usitoke tuwagongee wake zenu
Makato wameshaweka hawa wahuni kesho au leo jioni mapema sana mzigo umeingiaMakato bado mkuu. Kama kesho sikukuu ngoma jumatatu
Unyama sanaMwanangu unajua waga unazingua lakini!?
Makato wameshaweka hawa wahuni kesho au leo jioni mapema sana mzigo umeingia
Tayari makato nimechekiMakato bado mkuu. Kama kesho sikukuu ngoma jumatatu
Kwa hivyo tukausubirie grocery kwenye kiti kirefu?Tayari makato nimecheki
Agiza kitimoto na Safari za Baridiii mkuu mwambie Waiter nakulipa tu usiwe na WasiwasiKwa hivyo tukausubirie grocery kwenye kiti kirefu?
Ngoja niagize nusu, halafu kilo ya mama na watoto ifungwe kwenye foilAgiza kitimoto na Safari za Baridiii mkuu mwambie Waiter nakulipa tu usiwe na Wasiwasi
Had kesho saa 12 jioni kila mtu atakuwa na salaryBado mkali. Ila inabidi leo iingie. Weekend ndefu sana hii
Mishahara mnaisubiria kwa presha kubwa ili ikatumike grocery 😂Kwa hivyo tukausubirie grocery kwenye kiti kirefu?
Asa kesho mchana mchicha?Had kesho saa 12 jioni kila mtu atakuwa na salary
Hivi mnavyoulizia,huwa mmefulia hamna akiba kabisa?Wakiweka makato Yao ya bank inachukua masaa mangapi salary kuingia?