Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Haikuhusu.Hivi mnavyoulizia,huwa mmefulia hamna akiba kabisa?
Ukiona hivyo balance inasoma buku2Hivi mnavyoulizia,huwa mmefulia hamna akiba kabisa?
HahahaMishahara mnaisubiria kwa presha kubwa ili ikatumike grocery 😂
Welcome to Tanzania.
Dah mzee huwafanyii sawa ndugu watumishiUsitoke tuwagongee wake zenu
Vizuri sana ksa kujali na Familia mkuuNgoja niagize nusu, halafu kilo ya mama na watoto ifungwe kwenye foil
24hrsWakiweka makato Yao ya bank inachukua masaa mangapi salary kuingia?
Nami nimeonaCRDB kitu yente.
Sema salary inalevya aisee,CRDB kitu yente.
Mkuu usiwashtue waacheSema salary inalevya aisee,
April itakua ngumu sanaOK. TUKUTANE TENA TAR. 20 APRILI.....
Addictive knmSema salary inalevya aisee,