Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Unaendaje pub tarakimu hazijasoma kaka? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afadhali wewe ulitoka sasa nane za usiku wengine ndiyo tumepata sasa hivi sasa Saba!
 
Nilitemana nao nikaenda kuvuta mpunga AZANIA. Siku hizi sio lazima ukope unapopokelea salary. Na AZANIA hawakuuliza about CRB
Vp kuhusu kuwa na ulazima wa kuwa na account ya bank kwenye bank unayoenda kukopa? Mambo ya kwenda kufungua account kwenye bank husika unapoenda kukopa naona ni mambo ya ki-wack sana...

Yaani unajikuta una ma-account mengi mengi ambao ni ujinga tu.
 
Wadau Niko na mpango wa kuhama bank hii ya NMB, yaan haiwezekani wenzangu Washaanza kutumia pesa na kuinjoi maisha toka jana halafu me hadi leo napepesa macho.. halafu hii bank Kila mwezi wana-delay.. mnanishaurije wadau
🀣🀣🀣 tarehe za mshahara huwa zinakuwaga na vikauli fulani hivi mkuu.

Moja wapo ni hii umetumia hapo. Lol
 
Vp kuhusu kuwa na ulazima wa kuwa na account ya bank kwenye bank unayoenda kukopa? Mambo ya kwenda kufungua account kwenye bank husika unapoenda kukopa naona ni mambo ya ki-wack sana...

Yaani unajikuta una ma-account mengi mengi ambao ni ujinga tu.
Kama ni benki lazima uwe na account yao. Unafungua tu mpunga ukitoka unavuta na kusepa. Pia siku hizi ess naona Kuna microfinance Zina riba mpaka asilimia 17, 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…