Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Huu Uzi ubadilishe kichwa, usiwe January uwe mishahara ya wafanyakazi wa serikali na taasisi zake
Ila serikali ina mataasisi mengi hadi basi.
Nilipita Pale Machinga Dodoma kuangalia maonyesho ya watumishi wa umma, aisee kuna mataasisi mengine sijawahi hata kuyasikia. Japo mimi lengo langu kuu kwenda pale ni lilikuwa ni kutafuta mchumba tu na si jambo lingine
 
- hawalipi degree wanalipa taaluma sasa hapo umeandika nini? Hiyo pesa inazidi nusu ya mshahara wako hapo tamisemi
-
 
Ila nyie Jf administration sasa inatakiwa mnipe mandate itakayoniwezesha mimi kuwa-ban watu wasiohusika kwenye huu uzi... huu uzi ni wa updates za kutoka mshahara... Mambo ya ya wewe kulipwa milioni 2+ hayatuhusu pelekeni usenge we huko.
 
Sawa tajiri
 
Utazibwa pancha dada kwenye hilo kalio lako
 
Ila nyie Jf administration sasa inatakiwa mnipe mandate itakayoniwezesha mimi kuwa-ban watu wasiohusika kwenye huu uzi... huu uzi ni wa updates za kutoka mshahara... Mambo ya ya wewe kulipwa milioni 2+ hayatuhusu pelekeni usenge we huko.
Mtumishi wa umma unatukana watu , kubbke.

Ngoja niwasiliane na Utumisi wakushughulikie.
 
Stress zitakuua kubbko
We Maku hakuna rijali anayependwa kutumwa. Note.!

Kutumwa ni ajali ya muda kuona unajipataje

Ukiona mshahara unakunyima raha maana yake wewe ni limbukeni wa mafao

Hamjui kujitegemea wewe na Mbwa wanzako kama wewe
 
Umelewa? Hasira zote za nini Sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…