Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Asiyehusika na huu uzi ajitahidi akae kimya asitoe maneno ya shombo, akitoa tu maneno ya shombo lazima nimtukane seriously maana kwenye huu uzi ni kama nyumbani kwetu anakua ametuingilia.. You bera woch your back.
Kweli aise ,na mtu asitoe updates za uongo,sisi tunataka wenye uzi huu,na kama si mhusika pita kule
 
Kweli aise ,na mtu asitoe updates za uongo,sisi tunataka wenye uzi huu,na kama si mhusika pita kule
Halafu mtu asiyehusika anakuja kufanya nini kwenye huu uzi kama sio kutafuta wanaume ni nini... nyuzi zipo nyingi anawashwa anakuja huku ili watumishi wa umma tumkune na mshahara.
 
Ndiyo shida ya kutegemea salary kwa 100% ,jitahidini muwe na another source of income ,ona hata tarehe 30 haijafikia mshaanza kupiga MAYOWE.

Inasikitisha sana ,sasa mtu kama huyu ukimkabidhi ofisi ya umma si atakuwa MLA RUSHWA tu?
Kwenu Kigoma, unafanya kazi Lindi.

Hicho kipato, utaanza kuvua samaki.
 
Hakuna tarehe za mapema.

Hata ukitoa mshahara tarehe 5, ukaja kutoa tena tarehe 5, ni mwezi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…