King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sijakuelewa.Kwenu Kigoma, unafanya kazi Lindi.
Hicho kipato, utaanza kuvua samaki.
Tutajua hapo hapo Mkuu. Ila kina Mangi watatukoma.Hivi serikali ikisema hamna hela mwezi huu itakuwaje wadau
Mkuu ni chimbo linalomilikiwa na masista wa RC. Wana kitimoto nzuri hakuna mfano.Itakuwa wewe ndio unamiliki hilo chimbo, unavizia hivi vimishahara vyetu tuje tuvitumie hapo kwenye kijiwe chako.
Siyo lazima ufanyie ulipozaliwa. Ila inategemea zaidi na ulipo.Sijakuelewa.
Kwani kutafuta kipato nje ya mshahara lazima ufanyie ulipozaliwa? Ndiyo maana Heche anasisitiza tubadili elimu zetu zisiwe za Panzi ana miguu mingapi bali ziwe zinaweza kumfanya mtu ajiajiri.
Mimi enzi nakua nilijifunza ufundi selemala wakati wa likizo ,wakati nimeajiriwa nilikuwa natengeneza fenicha nauza kuongeza kipato ila kwasasa nishastaafu ,nachoma mkaa minjingu na pia vijana wanafanya fenicha mimi nawamentor tu ila ofisi ni yangu.
Anaongea tu, hivi ukipanga nyumba unalipa kodi kila mwezi somewhere mwenye nyumba ukampa kodi tarehe 05/02/2026 kwa hiyo unaweza ukapitisha usimpe kodi yake tarehe 05/03/2026 ukaenda kumpa tarehe 29/03/2026 just tu kwa sababu mwezi haujaisha... nashindwa kuelewa sijui kuna watu wanafikiria kwa kutumia p..umbu sio kichwa tena.Hakuna tarehe za mapema.
Hata ukitoa mshahara tarehe 5, ukaja kutoantena tarehe 5, ni mwezi huo.
Ntamtembelea kesho panapo majaliwa.Mkabala na TRA hapo ndio funga kazi ameshika chati kwa mda mrefu sana
Si kweli mkuu ,mara nyingi watu wanatusua ambapo si kwao!! Nabii hakubaliki nyumbani imeandikwa Luka 4:24Siyo lazima ufanyie ulipozaliwa. Ila inategemea zaidi na ulipo.
Assume, upo Kilimanjaro hata bustani huwezi kulima.
Kwa hiyo anataka wote tufanye biashara.. kwa hiyo wahubiri, vichaa, madaktari, maaskofu, masheikh wote tuache mambo yote tufanye biashara..Unadhani watumishi wote wakifanya biashara, ushindani kwa mfanyabiashara wa kawaida ambaye sio mtumishi utakuwaje? Na je huo mzunguko wa hela mtaani utakuaje? Kwasababu biashara zinategemea watumishi kwa asilimia kubwa.
Kama ni hao ngoja nikawaungishe nusu ya mshahara kabisa ukitokaMkuu ni chimbo linalomilikiwa na masista wa RC. Wana kitimoto nzuri hakuna mfano.
Halafu chimbo lingine la kitimoto nzuri ni huku Cathedral uelekeo wa Line ya polisi hapa Dom. Nako kuna pork tamu iliyoandaliwa kwa viwango vya juu sana.Kama ni hao ngoja nikawaungishe nusu ya mshahara kabisa ukitoka
Akimaliza kula mdudu A anahamia kula mdudu B(Pussy)Pita hapo pork joint uhindini ni noma sana
Acha kuniongezea matumizi kwenye mshahara wangu, nimejipanga haka kamshahara kangu ninunulie mtofali nianze kujenga kibanda cha kuishi ili nami niitwe baba mwenye nyumba.Halafu chimbo lingine la kitimoto nzuri ni huku Cathedral uelekeo wa Line ya polisi hapa Dom. Nako kuna pork tamu iliyoandaliwa kwa viwango vya juu sana.
Bora hata ungesema unanunua gari ka umeme. Sasa mkuu nyumba itakusaidia nini?Acha kuniongezea matumizi kwenye mshahara wangu, nimejipanga haka kamshahara kangu ninunulie mtofali nianze kujenga kibanda cha kuishi ili nami niitwe baba mwenye nyumba.
Mkuu achaneni na hizo story au wenzetu mshapata mshahara... tungekua Chadema katiba yetu ni mshahara.. tusichanganye ajenda π π€£πHapo si ndo kwa masister au jamaa alikuwa anaongelea wapi
Wamepata walioweka plan kwenye PEPMIS mkuu πMkuu achaneni na hizo story au wenzetu mshapata mshahara... tungekua Chadema katiba yetu ni mshahara.. tusichanganye ajenda π π€£π
Kwani wewe ni kobe, kwa sababu kobe anatembea na nyumba yake.Bora hata ungesema unanunua gari ka umeme. Sasa mkuu nyumba itakusaidia nini?