DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Baba mwenye nyumba kitimoto nyingine nzuri ipo Sarafina bar, nyuma ya jengo la Takukuru ArushaAcha kuniongezea matumizi kwenye mshahara wangu, nimejipanga haka kamshahara kangu ninunulie mtofali nianze kujenga kibanda cha kuishi ili nami niitwe baba mwenye nyumba.
Ndio nini pepssi?Wamepata walioweka plan kwenye PEPMIS mkuu 😂
EssNdio nini pepssi?
Mkuu huko mbeleni itakua hivyo, maana now days naona kuna namna Ccm wanataka waanze kuwapunguza watu kwa njia hiyo..Wamepata walioweka plan kwenye PEPMIS mkuu 😂
Baba mwenye nyumba kitimoto nyingine nzuri ipo Sarafina bar, nyuma ya jengo la Takukuru Arusha
Ebu tujikite kwenye mada kwanza, vipi umetoka?
Ngoma kesho mkuu kama mwezi uliopitaEbu tujikite kwenye mada kwanza, vipi umetoka?
Mkuu kama hujui Pepmis ni nini naomba utupishe kwenye huu uzi...Ndio nini pepssi?
Unataka upokee mshahara peke yako au?Mkuu kama hujui Pepmis ni nini naomba utupishe kwenye huu uzi...
Hakuna matata, ngoja niende kwa mangi nikakope kesho uhakika kulipaNgoma kesho mkuu kama mwezi uliopita
Umewahi kufika mikoa mingapi nchi hii?Si kweli mkuu ,mara nyingi watu wanatusua ambapo si kwao!! Nabii hakubaliki nyumbani imeandikwa Luka 4:24
MWANANGU MADARKOO YAKOMpka mjambe
Mkuu sasa mtu anauliza pepmis ni nini kweli huyu ni mwenzetu kweli? Ni kama kanisani mchungaji anasema "fungua biblia tusome Mhubiri 12:3.."Unataka upokee mshahara peke yako au?
Morogoro ,IRinga , Mbeya ,Kigoma , Arusha ,Kilimanjaro , Manyara ,Rukwa , Katavi ,Mwanza ,Shinyanga ,Geita na Mbeya.Umewahi kufika mikoa mingapi nchi hii?
30 ishafika mkuu Unalipwa Tarehe 23 ni hadi tarehe 22 au 23 huwa zimeshafika 30 kama watalipa tareh3 30 basi kila mwezi waanze lipa tarehe 30 PiaNdiyo shida ya kutegemea salary kwa 100% ,jitahidini muwe na another source of income ,ona hata tarehe 30 haijafikia mshaanza kupiga MAYOWE.
Inasikitisha sana ,sasa mtu kama huyu ukimkabidhi ofisi ya umma si atakuwa MLA RUSHWA tu?
Ukaona fursa gani Kilimanjaro na Iringa?Morogoro ,IRinga , Mbeya ,Kigoma , Arusha ,Kilimanjaro , Manyara ,Rukwa , Katavi ,Mwanza ,Shinyanga ,Geita na Mbeya.
Wengine huwa tunaenda kusikiliza nyimbo tu, mambo ya mhubiri abaki nayo mchungaji.Mkuu sasa mtu anauliza pepmis ni nini kweli huyu ni mwenzetu kweli? Ni kama kanisani mchungaji anasema "fungua biblia tusome Mhubiri 12:3.."
Ananyanyuka mtu anauliza "biblia ni nini?"
Hakuna mkoa ambao hauna fursa mkuu ,kama huo mkoa hauna fursa basi hakuna binaadam anayeishi.Ukaona fursa gani Kilimanjaro na Iringa?