Account inasoma vizuri, hapa unafanya nini?Hahaha wewe ndiyo una hasira kama zote kwasababu ya mshahara kuchelewesha ,mimi account inasoma vizuri tu SHEHE ,sipigi mizinga mkuu ,nina mpango wa kuanza kukopesha wafanyakazi kuanzia tarehe 18 ,nakupa laki unarudisha laki na 10 ukipokea mshahara.
Ni bora utundikiwe drip za glucose ili utoboe hiyo kesho. Hakuna namna nyingine. Sterling hauwawi. πMi kesho sifiki
Mkuu samahani, nauliza Swali bila kutukana so I hope nawe ujibu bila matusi... Nitajie member mmoja hapa aliyesema anategemea mshahara hana source nyingine...Samahani kwa kutumia lugha ngumu ,ukitumia lugha ngumu yenye ukweli na inayokera huwa inaeleweka na kukaa akilini vizuri.
Mwananchi mwenzangu hata mimi nilipitia hiyo hali ya kutegemea salary ila nikajiongeza kupata kipato nje ya mshahara ikanisaidia sana ,sasa hawa WEHU ukiwaambia kwamba watafute other source wanaanza kuleta MATUSI.
Wewe Kenge ebu soma profile yangu uone Joining Date na kuacha kuuliza maswali ya KIPUMBAVU.Account inasoma vizuri, hapa unafanya nini?
Okay kama wana source nyingine basi imekaa poa basi waache MAYOWE wasubiri tu uingie.....Kuanzia enzi za JK hadi sasa sijawahi kuona kwamba serikali inashindwa kulipa mishahara ,wanalipa wawe wavumilivu tarehe 27 Jumatatu siyo mbali.Nitajie member mmoja hapa aliyesema anategemea mshahara hana source nyingine...
Acha tuDUBULIHASA Shadeeya Mad Max BEZO JR Angada Samia atosha tukutane2030 Equation x fogoh2 Leonce jr MasterP. Mvinyo mpya
MUWE NA WEEKEND NJEMA POPOTE MLIPO.....
Asee wanazingua kinyama hapa tunajuzana mzigo kama umetema, wanaanza kuleta mada za kiboya boya sijui investment, side hustle mara mademu, hivi kuna mtu mzima aliyeajiriwa na serikali ana smartphone ambaye hajui kuhusu investment sijui side hustle.Nyie wasengerema mnao ingiza habari za kujiongeza kiuchumi, kupata ajira na kuhamia ofisi fulani, mnatupotezea focus. Wengine tumo humu tuna jambo letu, tunataka tujue kama mmelipwa tuanze kuwakaba wadeni wetu wasile mshahara
Pole . Crdb bila bilaOiii bado? sina ata vocha kumamakee
Unaweza kukuta sio mtumishi wa serikali, haelewi fungu ni niniFungu lipi?
Wakae kimya Wasubirie tarehe 27 wakati wanastahili kupewa sasa hivi.. We unawapangia kama nani peleka usenge wako huko.Okay kama wana source nyingine basi imekaa poa basi waache MAYOWE wasubiri tu uingie.....Kuanzia enzi za JK hadi sasa sijawahi kuona kwamba serikali inashindwa kulipa mishahara ,wanalipa wawe wavumilivu tarehe 27 Jumatatu siyo mbali.
Mkuu upo? Umepotea sana ndugu yangu. Naona vita na maadui zako bado unaendelea nayo, umewafata adi huku?π π π πWalimu mnazingua sana, tafuteni biashara hata ya kuuza upupu mazee
Ulishamaiza kusoma certificate ya ualimu? Nakumbuka uliulizia hapa jukwaani,.. vp ulifikia wapi?Walimu mnazingua sana, tafuteni biashara hata ya kuuza upupu mazee
DM yangu imejaa wanasema niwakopesheMkuu upo? Umepotea sana ndugu yangu. Naona vita na maadui zako bado unaendelea nayo, umewafata adi huku?π π π π
we jamaa nini maana ya mshahara? Bro kipuya elewa neno wafanya biashara na wafanya kaz kila mmoja analipwa anachokifanyia kazi, kama wewe ni mfanyabiashara wa nguo nenda kariakoo chukua mzigo weka dukan kwako wateja watakuletea mshahara wa kazi yako, na mwalimu kaz yake ndio mshahara wake mbona huitaj kutumia akili kubwa kuelewa,Walimu mnazingua sana, tafuteni biashara hata ya kuuza upupu mazee