Yaani.Gen Z wanakuwa na hasira sana
Na hiyo ndo tafsiri ya ukomavu kiakili na kifikra pia, ukiona mtu mitandaoni tu anashupaza shingo kwa jambo dogo unamfikiria je kwenye maisha ya kawaida nje ya jf anakuwaje huyo., yes ukiambiwa kitu unakichuja ,mazuri unachukua ,mabaya unaacha ,JK alisema cha kuambiwa unachanganya na zako ,ila hawa Gen Z wao ni MATUSI tu!!
Hahaha hawawezi kukupiga ,wanachukua ushauri kimya kimya ,tunachangamsha akili za gen Z! Next time hawatokuja kuulizia mshahara maana wanajua Kifuatacho ITV.Mkuu umezua taharuki ujue.
Nikipigwa uje kunitetea. 😃
Nahisi gharama za kudumisha amani mitaani hivi juzi zinahusikaMshahara wa Julai mbona unachelewa ni nini wadau?
Hahahaaa. Mkuu nisamehe bana.Unam-support King Kong III bibie nitakutukana... watu tuna hasira aisee, you bera wochi yua back 😅🤣😂
JF ni sehemu ya kujifunza ,utu uzima dawa ,nimejifunza mambo mengi kwa Paskali Mayalla ,yeye hata umpige za Uso, yeye ana like na kusonga mbele.Yaani.
Na hiyo ndo tafsiri ya ukomavu kiakili na kifikra pia, ukiona mtu mitandaoni tu anashupaza shingo kwa jambo dogo unamfikiria je kwenye maisha ya kawaida anakuwaje huyo.
Tunachangamsha tu genge mkuu, nothing personalHahahaaa. Mkuu nisamehe bana.
Mi mwenyewe ni kadogo hata sijai mkononi. Na mkinitukana ikafikia hatua ya kugombana itakuwaje sasa wakati mwezi ujao tutakuwa tena hapa tukisubiria salary.
Uzi endelevu huu.
Mshahara siachi kuulizia... we live yua lifeHahaha hawawezi kukupiga ,wanachukua ushauri kimya kimya ,tunachangamsha akili za gen Z! Next time hawatokuja kuulizia mshahara maana wanajua Kifuatacho ITV.
Elewa kwamba mshahara hautoshi - Hata ukilipwa milioni 10 kama salary tambua hautoshi....namaanisha ni kwamba utaishi kimilioni 10 na ukipewa 2m utaishia kimilioni 2 ,kadri kipato kinavyoongezeka na matumizi yanaongezeka pia ,uzuri wa side hustle ni kwamba unapambana kuongeza palipopungua! Hivi ukiwa na Kibodaboda chako unaokota kwa wiki 60 ,una kijigenge/duka chako unaokotoa perday 10 hivi utalia njaa kweli?Kua mtu anayelipwa milioni 2 mshahara hautoshi,ila anayelipwa mshahara milioni 1 na side hustle zake zote kwa mwezi anapata laki 6,jumla 1.6M yeye anatosheka?
Yule baba anajiwezaga mi nina uvumilivu ila simfikii aisee.JF ni sehemu ya kujifunza ,utu uzima dawa ,nimejifunza mambo mengi kwa Paskali Mayalla ,yeye hata umpige za Uso, yeye ana like na kusonga mbele.
Hakika. Hata mimi miaka ya nyuma ilikuwa mtu akinijibu mbovu naogopa saa ingine hadi nalog out kwanza.Mitandaoni ukichukulia kila kitu serious unaweza ukawehuka au ukapandisha sukari/presha!
Sawa mkuu ,case closed ,ngoja tusubiri mshahara uingie ,nitakuwa nachungulia mara kwa mara nione kama imesoma.Mshahara siachi kuulizia... we live yua life
Hahaha paskali mtu na nusu.Yule baba anajiwezaga mi nina uvumilivu ila simfikii aisee.
Hakika. Hata mimi miaka ya nyuma ilikuwa mtu akinijibu mbovu naogopa saa ingine hadi nalog out kwanza.
Ila baada ya kuanza kuvichukulia vitu kawaida. Akaaa. Kama hamna umuhimu wa kujibizana na kuanza kupanic unakuta huyooo nasonga zangu mbele.
Kwenye context ya hapa - kutoboa ni kwamba mishahara inakutana,yaani kabla wa mwanzo haujaisha mwingine ushaingia.....Lets assume unachukua mlio ambao umeingizwa tar 23 June ,unasonga nao hadi kufikia tarehe 23 July bado kuna hata vilaki na ushehe bado vipo vinapumua.Kabla hujatafuta maisha kwanza define kwako, KUTOBOA NI NINI, halafu tafuta huko kutoboa.
NB:-
Kila mtu ana definition yake ya kutoboa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tatizo la baadhi ya watu humu ni kujifanya wajuaji, kila uzi wao wamo tu. Huu ni uzi wa kupashana habari za monthly salary kwa wahusika tu. Sasa unakuta mtu hahusiki ila anataka kuleta ligi ligi za kijinga. Kwani mmezuiwa kuanzisha uzi wa wachuuzi?Acheni story, lengo la Uzi kuleta updates kama sio muhusika acha shobo matacore yako hayana rinda
Wajinga sanaTatizo la baadhi ya watu humu ni kujifanya wajuaji, kila uzi wao wamo tu. Huu ni uzi wa kupashana habari za monthly salary kwa wahusika tu. Sasa unakuta mtu hahusiki ila anataka kuleta ligi ligi za kijinga. Kwani mmezuiwa kuanzisha uzi wa wachuuzi?
Hayo maushauri yao wapelekee watoto wao ili wafanikiwe, unanishauri mtu usiyenijua hata nikifanikiwa hawatofaidika hata na mia yangu.Tatizo la baadhi ya watu humu ni kujifanya wajuaji, kila uzi wao wamo tu. Huu ni uzi wa kupashana habari za monthly salary kwa wahusika tu. Sasa unakuta mtu hahusiki ila anataka kuleta ligi ligi za kijinga. Kwani mmezuiwa kuanzisha uzi wa wachuuzi?
Fresh tu ila na sisi ukitoka tutapunguza hasira kwa kuwanyoosha wake zenu na mabinti zenuSamuya nyoosha vibaka hao