Mkuu utajipa pressure bure....we tusubiri hela yetu tu, wengine wana-stress zao...1.Kua Kila mtu anaweza kufanya biashara na biashara yake ikakua?
2.kua biashara haina hasara,ukifanya tu unafanikiwa?
3.kua wote wenye mishahara wanaweza biashara?
Sasa mabenki tangu Jana mbona wanazinguaSerikali wanadai wamekwisha lipa...makato si tayar, hapo ni ww na bank yako
Ni sahihi.Inategemea na jinsi account inavyo trasact. Mtu mwenye laki tatu halali njaa
Mtu kama umeamua kumsaidia ila hataki msaada wako jambo la busara ni kuachana nae, hum ndani kila mtu anakula kwakeSamahani kwa kutumia lugha ngumu ,ukitumia lugha ngumu yenye ukweli na inayokera huwa inaeleweka na kukaa akilini vizuri.
Mwananchi mwenzangu hata mimi nilipitia hiyo hali ya kutegemea salary ila nikajiongeza kupata kipato nje ya mshahara ikanisaidia sana ,sasa hawa WEHU ukiwaambia kwamba watafute other source wanaanza kuleta MATUSI.
Sure hapo lazima kiasi kiwe kikubwaNi sahihi.
Kwa mfano leo nimewalipia watu tiketi za SGR ile ya 120,500 kama mtu 10 hivi, baadae zikawa zinaingia msg za umepokea umepokea kama 15
Unaangalia salary slip ya last month, angalia outstanding balance ni ngapi.Unajuaje hayo makato, mbona salary slip hazitoki??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hizo siri za utajiri si akamfundishe bibi yake kama ana uchungu... Watu hatuhitaji ushauri..Mtu kama umeamua kumsaidia ila hataki msaada wako jambo la busara ni kuachana nae, hum ndani kila mtu anakula kwake
Chukua mshiko chapu chapu ili ujutie kukatwa mshahara wako wote300k sio ndogo aise
HakikaWakuu jumbe za ushauri humu zimekuwa nyingi halafu ndefu sana.
Tufocus kwenye lengo la uzi.
Wote watu wazima humu, tupunguze ushauri.
Wala sio yangu nilidandia tu Sina account NMBChukua mshiko chapu chapu ili ujutie kukatwa mshahara wako wote
Mkun...du wako hatutaki ushauri wakoMaswali yako nilishajibu hapo juu.
Kuwa na kipato tofauti na mshahara ni bora hata kama ni elfu 50 tofauti na kutokuwa nacho kabisa.
Assume huyo mwenye mshahara wa laki 4 kama asingekuwa na hizo source 8 ambazo zinamuingizia laki 6 angeishi vipi?
Hapa logic tunayozungumzia kulia lia mshahara umechelewa ,kama unapata 1.2m na inafika hadi mwihso wa mwezi mwingine na kukutana na mshahara mwingine hapo ni safi ,na watu kama hao hauwezi kukuta analilia mshahara umechelewa.
Wanaolilia maana yake mshahara umekwisha halafu hana source nyingine ya kupata kipato mpaka mshahara uingie ,hapo lazima alielie kwamba mshahara umechelewa ,kuna watu hata mshahara haangalii yeye anapiga kazi tu ,mshahara unaweza kuingia tarehe 23 yeye akaenda kutoa pesa tarehe 31 maana bado ndani ana petty cash ya kumsukuma.
Huu uzi wa mambo serious, sio wewe ***** usiye na rinda. Huna rinda kama baba akoMbona povu linakutoka? Mtu hela yake mwenyewe unampangia matumizi wewe kama nani? Au unataka hiyo 200k upewe wewe?
VETA kuilinganisha na FDC ni dharau kubwa sana.Mkuu kwenye mashirika tyme apply sanaa, hatimae tupo huku w
Je mkufunzi wa Veta na wale wa fdc ngazi ya diploma wenyewe scale yao ipoje?
Pole sana, inakuuma mwenzio kwenda kupewa 200k kwa kitu ambacho wewe huwa unatoa kwa chipsi kavu na mirinda nyeusiHuu uzi wa mambo serious, sio wewe ***** usiye na rinda. Huna rinda kama baba ako
upo sahihi kwamba ni vizuri kuwa na side hustle ila uhalisia ni kwamba watu wamekula loss nyinhi sana kwenye side hustle. Kuna watu walinunua vibodaboda lakini wakadhulumiwa marejesho. Ni rahisi kuizungumza ila kutekeleza sio jambo rahisiMaswali yako nilishajibu hapo juu.
Kuwa na kipato tofauti na mshahara ni bora hata kama ni elfu 50 tofauti na kutokuwa nacho kabisa.
Assume huyo mwenye mshahara wa laki 4 kama asingekuwa na hizo source 8 ambazo zinamuingizia laki 6 angeishi vipi?
Hapa logic tunayozungumzia kulia lia mshahara umechelewa ,kama unapata 1.2m na inafika hadi mwihso wa mwezi mwingine na kukutana na mshahara mwingine hapo ni safi ,na watu kama hao hauwezi kukuta analilia mshahara umechelewa.
Wanaolilia maana yake mshahara umekwisha halafu hana source nyingine ya kupata kipato mpaka mshahara uingie ,hapo lazima alielie kwamba mshahara umechelewa ,kuna watu hata mshahara haangalii yeye anapiga kazi tu ,mshahara unaweza kuingia tarehe 23 yeye akaenda kutoa pesa tarehe 31 maana bado ndani ana petty cash ya kumsukuma.
Kesho hahahaha... hii ngoma inawezekana jumamosi hata kesho sioni chochoteWajemeni nimekunywa nlkua na kiwi nikajua tutacheka jioni hii
Hakujaeleweka mwenye elfu 7 800 aniazime kesho mapema tu