DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Nilitaka nikutukane lakini naona kama umetumia soft language kiasi, ngoja nikuache.. ila hatutaki ushauri, next time kamshauri bibi yako.tuwe na mishe mishe nyingine wajomba tusitegemee hii ya mama kucheka ipo siku atanuna mpaka trh 40
NMB tayari 10:48
Huwa haitegemei bank tu, ndani ya bank kuna batchesAliepata crdb anishtue
sijajua unamaanisha nini wakati tuko kundi moja..au unadhani mko wachache public servant ...Nilitaka nikutukane lakini naona kama umetumia soft language kiasi, ngoja nikuache.. ila hatutaki ushauri, next time kamshauri bibi yako.
Haaaaaaaah kuna nyuzi humu hazina maana kabisaNdio maana ya huu uzi sasa. Mishahara ikishatoka, tunautelekeza hadi tarehe 20 tenaπ€£π€£
Hatari. Na kwa kua umesema konyagi lazima zitashuka chini, endelea kumchstisha Nasra viunomangi niwekee kitimoto kombe ikaange na ndizi mbili na kachumbari halafu mwam,bie mage hapo counter aniletee kakonyagi size ya kati na maji makubwa anytime bibi mkubwa anacheka
Kumbe ni Husna!halooo husna uko wapi kuna bia zako tatu hapa juzi ulinitoa wenge usiku ule aisee nilikuwa nimefulia kinyama njoo hapa kwa mangi leo ni leo kazi ipo
Habari PachaEeh M'Mungu tusaidie hao wahusika huko wabonyeze kitufe huu mshahara utoke leo mana ukisema hadi ifike jumatatu utakuta familia ya Watumishi wa Umma wa Jf yote imeparaganyika kutokana na kugombana.
Mzee mzigo umesoma?Kumbe ni Husna!
Watu wapunguze ushauri.Huu uzi mwezi huu umetoka kwenye kuhabarishana na kufarijiana, hadi kwenye kutukanana matusi ya nguonhi! Hii ni hatari. Ndugu zangu msiohusika na huu uzi kama vipi, tokeni kwenye huu uzi ili utulivu urejee. Watu wana hasira.
Crdb empty kwanguMzee mzigo umesoma?
Pole mzee,Nadhani mzigo utasoma tuCrdb empty kwangu