Elison Ndalichako
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 275
- 449
HaiwezekaniYani HR analipwa sawia na Eng.
Dogo nitakuogesha matusiMnalialia nini kwani mwezi mwisho si TAREHE 31? 😂😂😂😂
HR’s walijipambania wenywe mkuu sasa ivi anaeanza kazi anakula E na hawajiri HR wenye diploma (hawa wanakuwa watendaji wa kata au vijiji) wanasheria nao wanaanza na E piaHaiwezekani
Technically staff hawezi lipwa Sawa na non-tech staff.
Tech staff kama eng na ict halipwi Sawa na hr, pmu, wanasheria nk.
Tech staff ni tgs E
Non Tech ni tgs D
Sheria na HR wanaanzia EHaiwezekani
Technically staff hawezi lipwa Sawa na non-tech staff.
Tech staff kama eng na ict halipwi Sawa na hr, pmu, wanasheria nk.
Tech staff ni tgs E
Non Tech ni tgs D
Kwanini ufungwe kwani benki mi NMB pekeyaoHaya uzi ufungwe tuonane next month.....nmb hoyee
Ukiona hujapata mpaka saizi ujue wewe kwisha ongea vizuri na hr wako....Kwanini ufungwe kwani benki mi NMB pekeyao
FACT!!Huu uzi mwezi huu umetoka kwenye kuhabarishana na kufarijiana, hadi kwenye kutukanana matusi ya nguoni! Hii ni hatari. Ndugu zangu msiohusika na huu uzi kama vipi, tokeni kwenye huu uzi ili utulivu urejee. Watu wana hasira.
Bank yetu wafanyakazi wa serikali ni NMB. Wenzako tumepata kitambo wewe umebaki unabung’aaHii bank ya kijani inachangamoto gani wakuu?
Sio CRDB tu mi niko NMB lakini ni empty.Bank yetu wafanyakazi wa serikali ni NMB. Wenzako tumepata kitambo wewe umebaki unabung’aa
Nikajua peke angu huku NMB na mm ni empty aiseeSio CRDB tu mi niko NMB lakini ni empty.
Mkuu mi nimepata muda huuNikajua peke angu huku NMB na mm ni empty aisee
Ila kuna mwanamke mmoja yy saa 4 na dk 30 kaingiziwaSio CRDB tu mi niko NMB lakini ni empty.
Basi mdogo mdogo zinaendelea kuingiaMkuu mi nimepata muda huu
ila ukichek salary slip portal tayari ushawekwaNikajua peke angu huku NMB na mm ni empty aisee
Nadhani wanaingiza kwa batchBasi mdogo mdogo zinaendelea kuingia
Nmb??Mpaka wakati mwingine wadau.
DONE AND DUSTED!