DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
π€£ πCRDB mishahara yenu wamewapa influencersππ (CEO ana kichwa kikubwa akili za mende)
Jamaa anaenda kuiua bank ileJapo mm niko NMB na nimepata salary lakini nakereka na hii bank ya CRDB kwa uduwanzi wanaofanya... Yule CEO wao nikajua ana IQ nzuri kumbe hamna kitu bichwa kubwa utafikiri mama Samia.
Mama nani ?Japo mm niko NMB na nimepata salary lakini nakereka na hii bank ya CRDB kwa uduwanzi wanaofanya... Yule CEO wao nikajua ana IQ nzuri kumbe hamna kitu bichwa kubwa utafikiri mama Samia.
Wapi katajwaMama nani ?
Hebu kuwa na adabu kidogo kwa Head of State π«©
Exactly my πWapi katajwa
Acha unafiki basi, lile bichwa we unaona ni dogo?Mama nani ?
Hebu kuwa na adabu kidogo kwa Head of State π«©
Bado hamjapata salary?Aisee hawa crdb
Washaweka jioni hiiAisee hawa crdb
AmekuaMad Max safari hii hujaonyesha ushirikiano wowote ulikaa kimya mpaka mimi nikajitokeza front mshahara umetolewa kwa nguvu zangu mm ambaye sina cheo chochote kwenye huu umoja... umekua mzigo sna, jitafakari..π π€£π
Amelambishwa asali amekua falaMad Max safari hii hujaonyesha ushirikiano wowote ulikaa kimya mpaka mimi nikajitokeza front mshahara umetolewa kwa nguvu zangu mm ambaye sina cheo chochote kwenye huu umoja... umekua mzigo sna, jitafakari..π π€£π
Mbona imetoka mkuu?Aisee hawa crdb
Tunapewa Kwa mafunguπππ,nani hajapata mpaka saivi nimpe mboga? Mr wangu kasema hawezi tena kula majani yeye sio mfugoπͺπ
cc Mawardat