Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Labda tamisemi😂, alaf wengine wanakopa kufucha tu baadh ya mambo ya kuhijiana mwanaharam apite. Kuna watumishi waumma ambao anaingiza allowance na pesa za safar kwa mwezi more than 6M. Kunabaadh ya taasisi mtumishi ana gari la 80M sio kama kashindwa kununua cash hapana ila jdjdhdjdjdjdjdbdjdjdjgdhshdfuejakkaia 😂 so acha kukariri ww sema waalimu tena wa vijjn usiseme watumishi
 
Tamisemi na Walimu mnatuchukuliaje Wakuu😭
 
Tamisemi mwenye unafuu ni mkurugenzi tu, 😂😂😂.
 
Katika watumishi wote wa umma 800k wanaopata mambo haya hawafiki 10k tena hawa ni wakuu wa vitengo sehemu mbalimalbali na mashirika makubwa ya kitapel machache ambao wafanyakazi wao wote hawazid 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…