Option ipo nowDawa ya kuvunja ni kutafuta hela ya kufidia ile advance kwenye ule mwezi,ili mshahara uwe mzima....then unatemana nao..mfano kuna mwezi nliwahi wauliza nmb kama kuna namna ya kulipa ile adv kabla ya salary kutoka...wakasema hyo option haipo..
Unamaanisha na wa ba mtu? 😆😆😆Dada wewe una mishahara miwili ndio maana hawa wenye mshahara mmoja unawaona hawajui kupanga budget vizuri.
😅Hela si zimeshatoka? Ama?
Sure?Option ipo now
sisi TAMISEMI badoHatimaye NMB baada ya kukaa na hela yangu wameamua kuniwekea, tukutane tarehe kama hii next month
Ila NMB mjitafakari miezi hii miwili CRDB wamewatangulia mwezi ujao mjipapatue hata ikibidi mtuwekee hela zenu ili hazina wakiwaingizia mnakata
Wangekuwa wanaanza na Tamisenga kwani ndo ina watu wanalia njaa balaa😀😀😀sisi TAMISEMI bado
siku hizi mnatuita TAMISENGA?😅Wangekuwa wanaanza na Tamisenga kwani ndo ina watu wanalia njaa balaa😀😀😀
Sasa je🙌Unamaanisha na wa ba mtu? 😆😆😆
😅😅😅Sasa je🙌
Hata mm ni Tamisenga😀😀 naona watusahau kabisa watu. Wa NMBsiku hizi mnatuita TAMISENGA?😅
Ili nimeshindwaFanya uvunje hyo cycle ya salary advance mkuu..
Uko vizuri masta. Tumia, ya mwezi ujao muachie Mola.Wakuu, kuna mapunjo yamelipwa? Naona sms ya salary kwangu Ina ziada ya 1m, nisije itoa halafu mwezi ujao nikalaza familia njaa!
Nikifa?Mshahara hauoni giza mbili🚮
Lazima yapite masaa 24Hivi mbona mimi NMB salary advance inanikatalia kwenye app?