DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,478
- 32,729
Haifiki mzee nina mda sana mishahara haijakutana😃 kuna mda maisha yangu yanakua kama maleboBaada ya hapo ndio unaanza kupanga bajeti ya mshahara kama itafika tar 22 ijayo au?
Haifiki mzee nina mda sana mishahara haijakutana😃 kuna mda maisha yangu yanakua kama maleboBaada ya hapo ndio unaanza kupanga bajeti ya mshahara kama itafika tar 22 ijayo au?
Sio uongo ni kwel nmb wengine mpk sasa null and voidKuna jamaa anasingizia Nmb hataki kulipa madeni ya watu 😀😀
Kwa hiyo leo hujaenda job?na bado unalalamika kucheleweshewa mshahara?Nipeni majibu, bado nimelala nguvu ya kutoka nje sina.
Mi mtakukuruka mzee 🤣🤣🤣Humu kuna maprincipal kabisa mkuu wewe tia mautaalam na wewe. Tupate mautaalam watamemisenga. Mkuu andiken ma mirad vijana tusife njaa.pitishen
mkuu vip mshahara umeingia ajira mpya?Kwa hiyo leo hujaenda job?na bado unalalamika kucheleweshewa mshahara?
😅😅Daah sikuwahi kujua kama huu uzi una mambo mengi hivi!! 😁😁😁
Haya Mkuu nenda kamdai sasa.NMB ikiwa tayari mseme wakuu, kuna mtu anatakiwa alipe deni
Wamekufanyq kitu kibaya😀😀NMB ni magaidi 🖕🏿🖕🏿
Ndio shida ya kuzungusha round bar huku ukisubiria salali isome. Lazma upanikiWanasheria niambieni hivi nikienda mahakamani kuwafungulia kesi NMB kwa kunicheleweshea mshahara si kesi inasikilizika kabisa? Kiukweli nishapaniki.
siyo kabilo, ni Kobilo/Timanzi😅Mafundi wamenikaba wanakaribia kunirushia kabilo na mwiko
Mm sio fundi niliskia mmoja anasema boss tutakukaba na kabilo😀😀😀siyo kabili, ni Kobilo/Timanzi😅
😅😅😅😅😅Mm sio fundi niliskia mmoja anasema boss tutakukaba na kabilo😀😀😀
Najua nipo peke angu kumbe tupo wengi nmb kuna shida ganiNMB toka wqmefanya maboresho yao yakijinga jinga hivi na kuanza kuandika Majina Matatu kwa HERUFI KUBWA wamekuwa wapumba.vu sana salary inaweza ingia asubuhi sms ukapata keshokutwa mida kama hii
Naona mambo bado magumu sana upande wangu