Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mfano kama walivyobadirika wa kilimo toka idara to mamlaka ya mbegu na viuatilifu.
Kuna vertical, lateral and horizontal... Yaani unahama Kwa kimuundo, kitaasisi ama kicheo(simamizi) ..unaongelea nini.... Nipo kazini mwaka wa 16 huu.... Na ninasimamia wengi tu... Sisi ndio tulikuwa ajira ya mwisho kula KIAPO ... SIKU HIZI WANAPANGIWA TU KAZI ... WANAAPA WAPI!!? .. SISI TULIKULA KIAPO...
 
Yani namie nimeshangaa sana slip ya July Nimeangalia baada ya kusoma koment ya jamaa hapo juu kuangalia ikakubali wakati siku zote nikiangalia tarehe za mshahara hata Siku mbiltatu huwa inagoma hadi siku nne tano mbele

Cc Smart911
[/QUOTE]

Angalia kwa ess na sio salary slip portal
 
Mbona Sisi kwetu Hua tunakula kiapo mkuuu waajiriwa wapya lazima wake kiapo
 
Mmepanda wenzetu eehhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…