Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kuna mtu kaingiziwa sijui jana usiku! Maana kuna pesa nilikuwa namdai nikakuta MPESA imeitika usiku saa nne.
Sema siwezi kuuliza pesa umeitoa wapi utakuwa ukuda.
Muoneshe huu uzi.
 
Huu uzi una wadau wengi, sema wapo kimya ..

Screenshot_20240724-090906.png
 
Back
Top Bottom