Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkuu salary toka jana imetoka... Toka jana npo nakula pombe sio mbaya salary ikiisha nitamlaunu mama samia kwa kulipa mishahara midogo..
Hahaha mi imeingia leo mkali. Imenikuta nilikua naosha mchele nipike nimeacha nimemwaga nje wale kuku wa majirani.

Mi sio wa kula wali na kachumbali mwisho wa mwezi
 
Hii comment made my day
 
Back
Top Bottom