mdosi wako
Member
- Nov 25, 2024
- 21
- 13
Hadi hasubuhi hii nipo nmb lakini bado bila bilaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi hasubuhi hii nipo nmb lakini bado bila bilaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Bado bilabila?Hadi hasubuhi hii nipo nmb lakini bado bila bila
Bado bilabila?
Kweli mkuu Ila unanitosha kwa anasa zangu zoteMkuu kumbe una mshahara mdogo hivyo?
Humu kuna watumishi wengi sana , ila uhalisia ni huu, mshahara haujawahi kutosha na ndio maana kila mwisho wa mwezi wapwa huwa wako watupu kabisa , yani wanajikuta na madeni kila kona na hatima yake inakuwa kusubilia siku kama hizi na mambo ya kichelewa kidogo inakuwa ni msiba mkubwa.Kwa nyuzi zote huu uzi huwa unanichekesha sana, sijui kwanini ila picha inayonijia mara zote huwa ni yule anaeanzisha uzi ni mwalimu
Nahisi hivyo hata ofisini kwetu ipo hvoKwani huu mshahara unatoka kwa mafungu, kazini kwangu baadhi wamepata wengine bado!
Watumishi wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali zao halisi.Humu kuna watumishi wengi sana , ila uhalisia ni huu, mshahara haujawahi kutosha na ndio maana kila mwisho wa mwezi wapwa huwa wako watupu kabisa , yani wanajikuta na madeni kila kona na hatima yake inakuwa kusubilia siku kama hizi na mambo ya kichelewa kidogo inakuwa ni msiba mkubwa.
Au tatizo PEPMIS?Hadi hasubuhi hii nipo nmb lakini bado bila bila
Benki ipi unatumia wwSi umeingia jana
Kwa serikalini yupo juu huyo mwamba. Weka laki nane za mkopo hapo kwa mfano! Mi napokea take home ya 1.7 ni ndogo nayo. Sina mkopoMkuu kumbe una mshahara mdogo hivyo?
Crdb ila hata wa NMB wamepata kwa taasisi yetuBenki ipi unatumia ww
Kaa kwa kujishikilia...Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.