Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

NMB kitu tayari jioni ya leo, mitano tena kwa mama Samia🖐️
Screenshot_20250121-092558_3.jpg
Screenshot_20250121-092558_3.jpg
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na
Hahahaaa, "kila mwezi mshahara unachelewa". Mkuu unatamani mshahara utoke tarehe ngapi kila mwezi?
 
Hao ma DED na ma HRO unajua walivyo miungu watu kwa walimu? kuna mahala wanafikia kuwambia walimu wavue viatu wanapoingia maofisini mwao! watumishi wa kada za chini wanapitia mengi sana toka kwa hao mabosi wao
Hahahahah.....nyanyasa kada zote sio walim, walim fasta wanakuchomea utapokea simu kutoka DODOMA ya karipio Kali

Huu ni uzoefu wangu, Bora unyanyase watu wa Afya sio walim Wana connection sana na CCM & DODOMA
 
Back
Top Bottom